Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

The Captain Shark.🐬🐬
Screenshot_20240514_071235_Instagram.jpg
 
Nami nimekugeukia mbele yako na kusema kuwa naipenda sana Yanga lakini Nakupenda wewe ephen zaidi ya Yanga yenyewe maana wewe hunipa furaha ya kuiangalia na kuifuatilia vyema Yanga.

Yanga imesaidia sana kuwapa ahueni waliokuwa na msongo wa mawazo.
Yanga raha sana komredi. Ni kububujikwa na machozi ya furaha tu utafikiri umeonana na shujaa wa Afrika, mkombozi wa wanyonge, kipenzi cha Watanzania, ngome ya ujasiri, Simba wa siasa za Afrika, mtetezi wa wanyonge na rais wa karne Mama Samia 😁😁😁

downloadfile-296.jpg
 
Leo ni siku ya wananchi na nchi nzima ina furaha. Na ole wake tuje tuone Kolo likileta fyokofyoko kwenye paredi yetu leo.

Mdogo wangu Carleen hakikisha unakuja na Maki Alfo ili aje ashuhudie shamrashamra za kibabe leo. Mwambie kuwa msafara wa ushindi utapita pia mtaa wa Msimbazi 😁😁😁

View attachment 2998796
Mac Alpho baba angu, Kaka anasema anakusalimia tu eti..!!🤭
 
Back
Top Bottom