Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hawajawahi hata hivyo tuwazowee tu Mkuu.JamiiForums hata haiwapongezi wananchi, au Melo ni kolowizard??
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajawahi hata hivyo tuwazowee tu Mkuu.JamiiForums hata haiwapongezi wananchi, au Melo ni kolowizard??
Kuna watu wana zali kweli, Guede, Shekhan etc kuingia na ubingwa hapo hapo.
Kweli kabisa Shemela. Mwanzo mzuru kwao.Kuna watu wana zali kweli, Guede, Shekhan etc kuingia na ubingwa hapo hapo.
FA cup hatua ya nusu fainali,Mechi inayofuata ya yanga lini jamani
Nami nimekugeukia mbele yako na kusema kuwa naipenda sana Yanga lakini Nakupenda wewe ephen zaidi ya Yanga yenyewe maana wewe hunipa furaha ya kuiangalia na kuifuatilia vyema Yanga.
Leo ni siku ya wananchi na nchi nzima ina furaha. Na ole wake tuje tuone Kolo likileta fyokofyoko kwenye paredi yetu leo.
Yanga raha sana komredi. Ni kububujikwa na machozi ya furaha tu utafikiri umeonana na shujaa wa Afrika, mkombozi wa wanyonge, kipenzi cha Watanzania, ngome ya ujasiri, Simba wa siasa za Afrika, mtetezi wa wanyonge na rais wa karne Mama Samia 😁😁😁Nami nimekugeukia mbele yako na kusema kuwa naipenda sana Yanga lakini Nakupenda wewe ephen zaidi ya Yanga yenyewe maana wewe hunipa furaha ya kuiangalia na kuifuatilia vyema Yanga.
Yanga imesaidia sana kuwapa ahueni waliokuwa na msongo wa mawazo.
Yangaaa........raha sana.
Mac Alpho baba angu, Kaka anasema anakusalimia tu eti..!!🤭Leo ni siku ya wananchi na nchi nzima ina furaha. Na ole wake tuje tuone Kolo likileta fyokofyoko kwenye paredi yetu leo.
Mdogo wangu Carleen hakikisha unakuja na Maki Alfo ili aje ashuhudie shamrashamra za kibabe leo. Mwambie kuwa msafara wa ushindi utapita pia mtaa wa Msimbazi 😁😁😁
View attachment 2998796
😂😂Mimi nilikuwa Wembley kwenye mambo ya kikubwa.
Mkuu. Mkizubaa hata nafasi ya pili itawaponyoka; muishie kucheza kombe la luzazi dah!🙈Mimi nilikuwa Wembley kwenye mambo ya kikubwa.
Sasa Man Utd na Chelsea ipi ni saa mbovu.?😂😂
bado nimeshtuka ujue, kumbe saa mbovu kuna muda husema kweli, Man U..!?🤭