Young Africans (Yanga) amkeni logo imekaa kizamani sana ibadilishwe

Wasisahau kuuchomeka mwiko hapo nyuma yao....😂😂
 
Ila logo ya YANGA ina utoto mwingi, Logo za kisasa zina vitu vichache sana
 

Kiukweli, hilo lilogo la yanga ni baya!!
Ni la hovyo, ni kama uchafu flani hivi,!
 
Yanga ni Sports Club, siyo Footbal Club.
Ndani ya Sports Club kuna Masumbwi, na michezo mengine. Hajajitokeza mtu wa kuwekeza na kusimamia hiyo michezo mengine kupitia Yanga au Yanga imeamua kujikita kwenye Fooball Club zaidi, so hakuna kosa lolote hapo, inaonyesha wana wigo wa kufanya michezo mengine zaidi ya FC pekee
 
Kuna watu ukiwadharau hupati dhambi. Hata wewe unaruhusiwa kuwadharau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…