Young Africans (Yanga) amkeni logo imekaa kizamani sana ibadilishwe

Hii logo kusema na ukweli imekaa kizamani sana.kuna muda nikiangalia huwa najiuliza hivi yanga inamiliki mabondia wa ngumi na vilabu vya netball? Jibu ni hapana yanga inamiliki timu ya mpira ya wanaume na wanawake tu sasa hao wengine wanafanya nini hapo..pia huo mkanda hapo chini kama vile nembo ya shule ya msingi ,ebu tuwaige simba na azam katika hili .logo sio sheria anytime can be changed

Naomba dukuduku hili limfikie Engineer Hersi
View attachment 2774994
Wasisahau kuuchomeka mwiko hapo nyuma yao....😂😂
 
Ila logo ya YANGA ina utoto mwingi, Logo za kisasa zina vitu vichache sana
 
Hii logo kusema na ukweli imekaa kizamani sana.kuna muda nikiangalia huwa najiuliza hivi yanga inamiliki mabondia wa ngumi na vilabu vya netball? Jibu ni hapana yanga inamiliki timu ya mpira ya wanaume na wanawake tu sasa hao wengine wanafanya nini hapo..pia huo mkanda hapo chini kama vile nembo ya shule ya msingi ,ebu tuwaige simba na azam katika hili .logo sio sheria anytime can be changed

Naomba dukuduku hili limfikie Engineer Hersi
View attachment 2774994

Kiukweli, hilo lilogo la yanga ni baya!!
Ni la hovyo, ni kama uchafu flani hivi,!
 
Hii logo kusema na ukweli imekaa kizamani sana.kuna muda nikiangalia huwa najiuliza hivi yanga inamiliki mabondia wa ngumi na vilabu vya netball? Jibu ni hapana yanga inamiliki timu ya mpira ya wanaume na wanawake tu sasa hao wengine wanafanya nini hapo..pia huo mkanda hapo chini kama vile nembo ya shule ya msingi ,ebu tuwaige simba na azam katika hili .logo sio sheria anytime can be changed

Naomba dukuduku hili limfikie Engineer Hersi
View attachment 2774994
Yanga ni Sports Club, siyo Footbal Club.
Ndani ya Sports Club kuna Masumbwi, na michezo mengine. Hajajitokeza mtu wa kuwekeza na kusimamia hiyo michezo mengine kupitia Yanga au Yanga imeamua kujikita kwenye Fooball Club zaidi, so hakuna kosa lolote hapo, inaonyesha wana wigo wa kufanya michezo mengine zaidi ya FC pekee
 
Na Slogan pia ibadilike maana vijana wa sasa na zamani wana tofautiana
Tabia zenu vijana wa sasa
IMG_20230422_235805.jpg
 
Yanga na simba, wote kwa pamoja wanatakiwa kubadilisha Katiba zao. Maana mpaka leo hivi vilabu vinatambulika kama vilabu vya michezo (Sports clubs), badala ya vilabu vya mpira wa miguu (yaani Football Clubs).

Kwa hiyo wakishinikizwa kubadilisha hizo Katiba zao, na nembo za timu zao pia (na hasa hiyo nembo ya Yanga), nazo zitabadilika.

NB:- huu uzi ni mzuri sana kwa ajili ya majadiliano. Ni bahati mbaya umevamiwa na baadhi ya watu wazima wenye akili za kitoto.
Kuna watu ukiwadharau hupati dhambi. Hata wewe unaruhusiwa kuwadharau.
 
Back
Top Bottom