mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Yanga hatuna moango wa kuifufua hiyo michezo tena,Unajua maana ya Sports Club? Hiyo michezo yote Yanga imecheza huko nyuma so huwezi jua kama wataifufua tena, moja ya mabondia waliochezea Yanga ni Makongoro Nyerere.