Looh, pesa izi binamu, yani angekuwa na uwezo wa kuamka aone watu wanavyomshobokea dah, ila juzi kati ilikuwa siku yake ya kuzaliwa ndo nilipoanza kumuona ila sio watu wengi walio mu wish happy birthday kama wa leo aiseeh,maana wengeumbuka wengi hawamjui kafa ndo wanajifanya kumjua
Hydar ni rafik yake au ni ndug yake yule? Mmh nasikia wana pesa chafu, rafik zake lemutuz hao
Dar bilionea wachache,atown ndio mabilionea wengi.
Nanibkakuambia ameenda Mbinguni? 👮
Mabilionea dar kibao ila huyu bilionea w kuuza sura na kufanya fujo bar....hela ya kutafuta mwenyewe ina heshima zake huwezi fanya ubishoo bar
Juzi nilimuona escape one alikuwa na akina ray wanakunywa vzur, huyo dogo nasikia alikuwa kalewa that's y alipat ajal
Hivi alikuwa kwenye mwendo kasi na anatumia vilevi? Kwa umri wake ulivyo mdogo lazima alikuwa ana kunywa....! Hivi lemutuz huwa anatumia kilevi?
Hydar si ndio yule dogo mwenye hydary plaza Na Mali nyingi sana alizoruthishwa lk anaziendeleza vizuri? Naona kama wanafanana wasije kuwa ndugu? Kama Ndugu kweli hao ni Mabilionaire Wacha Lemutuz a Lick A.s.s zao....
Tanzania mabilionea ni wawili tu, wengine ni milionea ambao ni wachache pia. Afu wanafata lakionea na bukuonea
Si hydary huyo. .marehemu mwanae hydary kavira wa mwananyamala hao na marehemu mitkasi yao kuwasafisha makorongwee wa kilami na madini feki. ..hydary kasimama kipakee ila Jimmy haikuwa kivile kipesa kawaida sana,instagramically alikuwa tajiri wa picha mnato alizokuwa anaweka. .. sema alikuwa mtu smart na pesa ya kulipia bills. .
Huyo mara ya mwisho alikuwa bar ya Amsterdam iliyopo mbezi beach waliokuwa naye wanasema alikuwa tungi sana.
R.i.p jimmy boy
Mbona hiyo ni ile Helicopter ya Sea Cliff
Na hapo ni kwenye zile parking za Sea cliff
Alinipita sikumoja na hiyo gari tulikuwa tunaenda tanga dah?rip bilionea
Alooo,hizi helkopta naona watu wananunua kama magari sasa.
Tanzania mabilionea ni wawili tu, wengine ni milionea ambao ni wachache pia. Afu wanafata lakionea na bukuonea
uyo marehem ni mdogo wake na haidary kavira aliyewai kuwa x wa wema sepetu,alikuwa anafanya biashara ya madini na makazi yake ni hapa dar es salaam..its like family business.dogo alikuwa mla bata sana hakuwa na noma na mtu,ana heshima sana japo alikuwa na pesa mingi...RIP JIMMY YOUNG BLOOD MILLIONEIRE.
First hand information au na we umesikia mahali?