Young Bilionea wa Madini wa Arusha Afariki Dunia

Young Bilionea wa Madini wa Arusha Afariki Dunia

Looh, pesa izi binamu, yani angekuwa na uwezo wa kuamka aone watu wanavyomshobokea dah, ila juzi kati ilikuwa siku yake ya kuzaliwa ndo nilipoanza kumuona ila sio watu wengi walio mu wish happy birthday kama wa leo aiseeh,maana wengeumbuka wengi hawamjui kafa ndo wanajifanya kumjua

Yani
Ameniumiza sana.Rip baby
 
Hydar si ndio yule dogo mwenye hydary plaza Na Mali nyingi sana alizoruthishwa lk anaziendeleza vizuri? Naona kama wanafanana wasije kuwa ndugu? Kama Ndugu kweli hao ni Mabilionaire Wacha Lemutuz a Lick A.s.s zao....

Si hydary huyo. .marehemu mwanae hydary kavira wa mwananyamala hao na marehemu mitkasi yao kuwasafisha makorongwee wa kilami na madini feki. ..hydary kasimama kipakee ila Jimmy haikuwa kivile kipesa kawaida sana,instagramically alikuwa tajiri wa picha mnato alizokuwa anaweka. .. sema alikuwa mtu smart na pesa ya kulipia bills. .
 
Oooh Nikajua Le Bilionaire Hydery Plaza ....
 
Huyo mara ya mwisho alikuwa bar ya Amsterdam iliyopo mbezi beach waliokuwa naye wanasema alikuwa tungi sana.
R.i.p jimmy boy

Sasa kwa nini walimruhusu aendeshe mwenyewe wakati waliona hali yake mbaya?
 
Usiongopee Hii Ndege Si Yakee...

Huyu Mzungu Na Hii Ndege Namjua Vizuri Sanaa Na Huwa Anakodisha Au Kusafirisha Abiria...

"if you want to hide something from African, put it in a book"
 
Tanzania mabilionea ni wawili tu, wengine ni milionea ambao ni wachache pia. Afu wanafata lakionea na bukuonea

Mkuu tanzania mabiliona wako utitiri interm of shillings bt in US Dollar ndio wawili tu Dewji and Rostam wana 1b
 
uyo marehem ni mdogo wake na haidary kavira aliyewai kuwa x wa wema sepetu,alikuwa anafanya biashara ya madini na makazi yake ni hapa dar es salaam..its like family business.dogo alikuwa mla bata sana hakuwa na noma na mtu,ana heshima sana japo alikuwa na pesa mingi...RIP JIMMY YOUNG BLOOD MILLIONEIRE.

First hand information au na we umesikia mahali?
 
Back
Top Bottom