Young Lunya ana u-GOAT gani?

Young Lunya ana u-GOAT gani?

Whatever bro
Kendrick Lamar unaipata ngoma yake ya Hiii Power na nyingine inaitwa Rigamortis? Huyu mwamba pia ni levo nyingine sana. Hua kibongobongo namfananisha na black maradona
 
Hiii power beat yake tu hatari,ile flute sijui sample ya wapi,rigamortis siipati nitaicheki,ukitaka kuona jamaa anachana,isikilize Look out for the detox... Kendrick ka flow Sana
 
Naipata look out for the detox. Itafute Rigamortis halafu utakuja kuniambia!
 
Lunya anajiita Goat kama fashion tu, kafanya Goat liwe sehemu ya nickname yake.

Sio tu kwamba hana vigezo vya kuwa Goat katika hip hop kiujumla bali hata kuwa Goat kama muwakilishi bora wa hip hop Kiwalani pia amekosa hiyo sifa.

Ana flows nzuri ila utunzi ni zero, anapayuka sana na kuunga unga vina.

Wasiojua mziki wa Hip Hop wanaweza kumuona jamaa ni bonge la mchanaji lakini kiuhalisia hata kwa Cadgo hafiki.

Lunya angempata mtu wa kumtungia mashairi mazuri nilikuwa namuona mbali kuliko hapa alipo.

Kwasababu ana ufundi wakutulia kwenye beat plus na ile kitu ambacho modern rapper wanapenda kukifanya (swagga)
Siwapendagi ma rapper wa kizazi hiki but when it comes to flows and swagger huyu dogo ni mkali hata mimi ni shabiki yake
 
Hiii power beat yake tu hatari,ile flute sijui sample ya wapi,rigamortis siipati nitaicheki,ukitaka kuona jamaa anachana,isikilize Look out for the detox... Kendrick ka flow Sana
If you thought look out for the detox was [emoji91][emoji91][emoji91], then go listen to Rigamortis mzee
 
Lunya anajiita Goat kama fashion tu, kafanya Goat liwe sehemu ya nickname yake.

Sio tu kwamba hana vigezo vya kuwa Goat katika hip hop kiujumla bali hata kuwa Goat kama muwakilishi bora wa hip hop Kiwalani pia amekosa hiyo sifa.

Ana flows nzuri ila utunzi ni zero, anapayuka sana na kuunga unga vina.

Wasiojua mziki wa Hip Hop wanaweza kumuona jamaa ni bonge la mchanaji lakini kiuhalisia hata kwa Cadgo hafiki.

Lunya angempata mtu wa kumtungia mashairi mazuri nilikuwa namuona mbali kuliko hapa alipo.

Kwasababu ana ufundi wakutulia kwenye beat plus na ile kitu ambacho modern rapper wanapenda kukifanya (swagga)
Uko sahihi sana, Con boy (Canabino) amemuacha mbali lunya thou kuna watu wanasema kwa pale OMG eti lunya ndo alikua mkali ,.una maoni gani hapa

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Yes kaka nimeisikia,black lip bastard verse ya Schoolboy Q naielewaga Sana,TDE hawana rapper mchovu..Sasa hivi Wana jamaa anaitwa JID
Ila sidhani kama kuna rapper anajua kucheza na wordplay kama Kdot
 
Uko sahihi sana, Con boy (Canabino) amemuacha mbali lunya thou kuna watu wanasema kwa pale OMG eti lunya ndo alikua mkali ,.una maoni gani hapa

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Con boy ni noma sana, hadi mzee wa crack attack a.k.a Don Cartagena a.k.a Fat Joe alionesha appreciation yake kwa jamaa. Kiufupi Young Lunya ni Soulja Boy Tell 'Em aliyechangamka
 
Back
Top Bottom