The dumb Professor
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 852
- 1,978
Haha forest hills ya kwa mpalange sio😂J Cole fundi,nae Kama Mimi anatokea Forest Hill,album yake ya 2014 Forest Hills Drive,nilinunua physical copy OG
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha forest hills ya kwa mpalange sio😂J Cole fundi,nae Kama Mimi anatokea Forest Hill,album yake ya 2014 Forest Hills Drive,nilinunua physical copy OG
Whatever broHaha forest hills ya kwa mpalange sio😂
No Role ModelzJ Cole fundi,nae Kama Mimi anatokea Forest Hill,album yake ya 2014 Forest Hills Drive,nilinunua physical copy OG
Wet dreamzNo Role Modelz
Kendrick Lamar unaipata ngoma yake ya Hiii Power na nyingine inaitwa Rigamortis? Huyu mwamba pia ni levo nyingine sana. Hua kibongobongo namfananisha na black maradonaWhatever bro
Tale of 2 citiesWet dreamz
Hiii power beat yake tu hatari,ile flute sijui sample ya wapi,rigamortis siipati nitaicheki,ukitaka kuona jamaa anachana,isikilize Look out for the detox... Kendrick ka flow SanaKendrick Lamar unaipata ngoma yake ya Hiii Power na nyingine inaitwa Rigamortis? Huyu mwamba pia ni levo nyingine sana. Hua kibongobongo namfananisha na black maradona
Love yoursTale of 2 cities
Naipata look out for the detox. Itafute Rigamortis halafu utakuja kuniambia!Hiii power beat yake tu hatari,ile flute sijui sample ya wapi,rigamortis siipati nitaicheki,ukitaka kuona jamaa anachana,isikilize Look out for the detox... Kendrick ka flow Sana
Ngoja nisikilize nowNaipata look out for the detox. Itafute Rigamortis halafu utakuja kuniambia!
Siwapendagi ma rapper wa kizazi hiki but when it comes to flows and swagger huyu dogo ni mkali hata mimi ni shabiki yakeLunya anajiita Goat kama fashion tu, kafanya Goat liwe sehemu ya nickname yake.
Sio tu kwamba hana vigezo vya kuwa Goat katika hip hop kiujumla bali hata kuwa Goat kama muwakilishi bora wa hip hop Kiwalani pia amekosa hiyo sifa.
Ana flows nzuri ila utunzi ni zero, anapayuka sana na kuunga unga vina.
Wasiojua mziki wa Hip Hop wanaweza kumuona jamaa ni bonge la mchanaji lakini kiuhalisia hata kwa Cadgo hafiki.
Lunya angempata mtu wa kumtungia mashairi mazuri nilikuwa namuona mbali kuliko hapa alipo.
Kwasababu ana ufundi wakutulia kwenye beat plus na ile kitu ambacho modern rapper wanapenda kukifanya (swagga)
If you thought look out for the detox was [emoji91][emoji91][emoji91], then go listen to Rigamortis mzeeHiii power beat yake tu hatari,ile flute sijui sample ya wapi,rigamortis siipati nitaicheki,ukitaka kuona jamaa anachana,isikilize Look out for the detox... Kendrick ka flow Sana
Ndio naisikiza hapa,If you thought look out for the detox was [emoji91][emoji91][emoji91], then go listen to Rigamortis mzee
Vipi mkuu unaniambiaje hiyo ngoma? Halafu Black lip bastard unaipata?Ndio naisikiza hapa,
Vipi mkuu unaniambiaje hiyo ngoma? Halafu Black lip bastard unaipata?
Yes kaka nimeisikia,black lip bastard verse ya Schoolboy Q naielewaga Sana,TDE hawana rapper mchovu..Sasa hivi Wana jamaa anaitwa JIDVipi mkuu unaniambiaje hiyo ngoma? Halafu Black lip bastard unaipata?
Uko sahihi sana, Con boy (Canabino) amemuacha mbali lunya thou kuna watu wanasema kwa pale OMG eti lunya ndo alikua mkali ,.una maoni gani hapaLunya anajiita Goat kama fashion tu, kafanya Goat liwe sehemu ya nickname yake.
Sio tu kwamba hana vigezo vya kuwa Goat katika hip hop kiujumla bali hata kuwa Goat kama muwakilishi bora wa hip hop Kiwalani pia amekosa hiyo sifa.
Ana flows nzuri ila utunzi ni zero, anapayuka sana na kuunga unga vina.
Wasiojua mziki wa Hip Hop wanaweza kumuona jamaa ni bonge la mchanaji lakini kiuhalisia hata kwa Cadgo hafiki.
Lunya angempata mtu wa kumtungia mashairi mazuri nilikuwa namuona mbali kuliko hapa alipo.
Kwasababu ana ufundi wakutulia kwenye beat plus na ile kitu ambacho modern rapper wanapenda kukifanya (swagga)
Ila sidhani kama kuna rapper anajua kucheza na wordplay kama KdotYes kaka nimeisikia,black lip bastard verse ya Schoolboy Q naielewaga Sana,TDE hawana rapper mchovu..Sasa hivi Wana jamaa anaitwa JID
Kwa kizazi Cha Sasa auIla sidhani kama kuna rapper anajua kucheza na wordplay kama Kdot
Con boy ni noma sana, hadi mzee wa crack attack a.k.a Don Cartagena a.k.a Fat Joe alionesha appreciation yake kwa jamaa. Kiufupi Young Lunya ni Soulja Boy Tell 'Em aliyechangamkaUko sahihi sana, Con boy (Canabino) amemuacha mbali lunya thou kuna watu wanasema kwa pale OMG eti lunya ndo alikua mkali ,.una maoni gani hapa
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app