Yu wapi Mwisho Mwampamba?

sababu ya kunifanya kuuliza Ni kwamba nilitembelea Arusha mwaka juzi nikiwa na mwenyeji wangu tunapita mitaa ya Philips kwa mbele mwenyeji wangu akaniambia angalia mwisho yulee, alikuwa anatembea pembezoni mean barabara zile njia za wapita kwa miguu, hi kitu nikakimbuka nikasema ngoja niulizie Mana, nilikua moja Kati ya watu waliokua wanamkubali sana
 
Mjomba mwisho alikuwa anaishi namibia inawezekana bado yupo huko coz alimuowa mwanadada merly kutoka kule
 
Mwisho kuna saloon flani ya kiume pale sekei-arusha ndio huwa anashinda na kuvuta bangi.
Hana mishe kwa kifupi.
 
Alikuwa anauza matikitiki Morogoro mwaka juzi sijui siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…