Yu wapi Mwisho Mwampamba?

Yu wapi Mwisho Mwampamba?

Pia anakuwa Arusha Sana na shombeshombe mmoja anaitwaga balletto. Hiki kipindi Cha corona wazungu wamepungua ndo huwakuti kwenye clubs. Madem washamba BADO wanawapaparikia Sana wakitatizwa na rango yao[emoji851][emoji851][emoji851]

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
sababu ya kunifanya kuuliza Ni kwamba nilitembelea Arusha mwaka juzi nikiwa na mwenyeji wangu tunapita mitaa ya Philips kwa mbele mwenyeji wangu akaniambia angalia mwisho yulee, alikuwa anatembea pembezoni mean barabara zile njia za wapita kwa miguu, hi kitu nikakimbuka nikasema ngoja niulizie Mana, nilikua moja Kati ya watu waliokua wanamkubali sana
 
Mjomba mwisho alikuwa anaishi namibia inawezekana bado yupo huko coz alimuowa mwanadada merly kutoka kule
 
Mwisho kuna saloon flani ya kiume pale sekei-arusha ndio huwa anashinda na kuvuta bangi.
Hana mishe kwa kifupi.
 
Alikuwa anauza matikitiki Morogoro mwaka juzi sijui siku hizi
 
Back
Top Bottom