4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Ila CCM inachowafanyia Wana chama wake Mungu anawaonya,yani mpaka mwanaume mzima na wajukuu anakunishwa nazi! Shida SanaHaya mashindano naamini utafanikiwa na kujinyakulia kombe. View attachment 1804203
Nakuonea huruma sana kwa kutegemea misiba kama njia yako ya kujikimuSio bure wewe aliyekuroga kafa wazazi pesa ya ada afadhali wangenunulia ng'ombe wangepata maziwa kuliko hasara hii!
Tatizo wana ccm wenyewe kama huyo wa kwanza ni ndugu yetu kipara kipyaIla ccm inachowafanyia Wana chama wake Mungu anawaonya,yani mpaka mwanaume mzima na wajukuu anakunishwa nazi ,!! Shida Sana
Hawaamini kama dikteta pamoja na ulinzi wote kama kwa coronaSukuma Gang mmebaki wakiwa mnoo,
huo ni wivu yaani umaskini wako unataka ulingane nye? mtachelewasana na mbowe wenu mwenyekiti wa milele eti anaongoza chama cha kidemocrasiaDiamond atapigiwa kura na Polepole
Wala si wivu, bali ni support kwa mpenda haki Burnaboyhuo ni wivu yaani umaskini wako unataka ulingane nye? mtachelewasana na mbowe wenu mwenyekiti wa milele eti anaongoza chama cha kidemocrasia
na uzalendo je nao hamna?Wala si wivu, bali ni support kwa mpenda haki Burnaboy
Uzalendo wenu CCM unamtoshana uzalendo je nao hamna?
Muueleze ulichomuitia kaacha kula!PAUL MAKONDA YUPO WAPI???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akili ni nywele lipo funzo kwa wadandia magari kwa mbele!Ndivyo walivyo mawakili,amechukua mpunga wake na kumetulia...
Dunia inawaona mlivyo wanafiq hata lissu mlinyima kura pia!Haha tunasimama na mpenda haki Burnaboy
Napenyezewa hapa na watu wako wa karibu hali yako ya uchumi ni mbaya sana unashindia karanga za kuonja!Nakuonea huruma sana kwa kutegemea misiba kama njia yako ya kujikimu
Mwambie afanye haraka asisahau kupitia MIGA!Anafanya marekebisho madogo kule ICC kwani mashitaka yamembadilika kidogo,yupo aliyeondolewa na wapo waliooongezwa,ikiwa ni pamoja na wewe.
Ongeza sauti mkuu!yupo uberigiji na mkewake tobo