Yu wapi yule Robert Amsterdam Wakili maarufu?

Pole kwa msiba wa Meko.
 
Kushenei ni yule aliyeko kwenye banda la bati, hawa wengine wanapiga milo mitatu kama kawa huku wakishushia msosi na mvinyo mwekundu kutoka Italy. Upo hapo?
Mkuu..tena nasikia Chato kuna joto kali sana..nafikiri sababu itakua mzigo una decompose huko chini kisawasawa..
MUNGU AMETUTENDEA MAKUU SANA Watanzania.
 
Yupo chato kaenda kuzuru kaburi
 
Nauliza tu, ikiwa mwendazake alidhulumu uchaguzi ule, Lisu akigombea 2025 atashinda?
Kwa mtizamo wangu ni kuwa si Lissu tu lakini hakuna uwezekana wa kushinda U rais kwa mtu anayetokea upinzani katika siku za usoni.Hili ni jambo jema kabisa kwani ushahidi usio shaka unaonyesha kutokana na katiba mbovu mara nyingi kubadili uongozi wa juu kumepelekea nchi nyingi kuingia matatizoni (kenya,Zambia,Malawi n.k).Upinzani uendelee kutoa challenge na kuongeza idadi ya wabunge lakini mabadiliko ya ghafla ya uongozi wa juu ni jambo ambalo si la siha sana kwa nchi yetu kwa sasa.
 
Yupo anakula viazi hapa Nyehunge
 
Kala hela za chadema mwishowe akaona hela hazitoshi akamwita na mhusika ila akae nae kabisa
 
Hivi kesi zile zilikuwa za serikali au mtu binafsi - Magufuli
Kipindi cha Magufuli kulikuwa na serikali? Yeye ndiye alikuwa kila kitu, kuanzia waziri mkuu, makamu wa rais, jaji mkuu, spika, rpc, cdf na kila aina ya mamlaka unayojua wewe
 
Hapo ushamfukuza jamvini
NIAMBIE NDUGU YANGU MMAWAIA! Uchidachi somo!! Naomba nicheki INBOX tuongee issue.

Nipo safarini NAENDA NANDAGALA KUCHEKI MAENDELEO YA barabara ya LAMI NANGANGA RUANGWA!!!
 
Amehusika kwenye kumuua nanihii ndio maana sasa hivi kapotea, sasa hivi anajiandaa kuleta makampuni ya kuvuna maliasili zetu
 
Wewe utakwenda peponi sio mtizamo tu ndio ukweli wenyewe japo mchungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…