johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyu kada mkongwe wa CCM na Diwani mstaafu wa Mbagala amekuwa kimya sana kwenye Siasa za Tanzania
Yuko wapi Huyu Mwamba?
Yuko wapi Huyu Mwamba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤩🤩Atakuwa ndiye yule mkopaji wa zile benki 5 huyo
Anaweza kuwa yeye bana [emoji1]Atakuwa ndiye yule mkopaji wa zile benki 5 huyo
1. Yusuf Manji yuko zake mahali alipo hana tatizo lolote, sio kosa lolote kisheria mtu kukopa benki zozote hata mabenki 10!.Huyu kada mkongwe wa CCM na Diwani mstaafu wa Mbagala amekuwa kimya sana kwenye Siasa za Tanzania
Yuko wapi Huyu Mwamba?
Umetoa Majibu Mengi sana!1. Yusuf Manji yuko zake mahali alipo hana tatizo lolote, sio kosa lolote kisheria mtu kukopa benki zozote hata mabenki 10!.
2. Kwenye freedom of movement provided na katiba yetu, kila mtu yuko huru kwenda popote, kuishi popote bila kuvunja sheria yoyote!.
3. Kila mtu anayo haki ya faragha, the right to privacy, inayolindwa na katiba, huna ruhusa ya kuingilia uhuru wake wa faragha kwa kumuulizia alipo unless kama ni public fugure who is paid by taxpayers money or ni mhalifu anayetafutwa kwa tuhuma zozote za jinai!.
As long as hakuna tuhuma zozote za jinai kumhusu Yusuf Manji, hivyo leave him alone!, msiingilie uhuru wa watu bila sababu!.
P
Manji ana pesa ya Urithi hawezi kukopa!Akionekana akitaka udiwani mtampa sijui kwann anahusishwa na hili suala la kukopa kama mkopaji nchi hii ni yeye tu 😃
Yeye ni mfanyabiashara huwezi kusema hakopiManji ana pesa ya Urithi hawezi kukopa!
Duh! Kama maafisa wa benki walifanya "due diligence" zao kimangumashi na wakatoa mkopo wa mabilioni ya fedha kwa "multiple borrower" ambaye alikuwa hana hata dhamana za mkopo za uhakika, basi hilo ni tatizo la ndani la benki husika. Juzi tu tumesikia mauaji ya kikatili yaliyotokea Kibaha, ni mfano wa kashfa kubwa kama hizi katika kutafuta kufuta ushahidi.1. Yusuf Manji yuko zake mahali alipo hana tatizo lolote, sio kosa lolote kisheria mtu kukopa benki zozote hata mabenki 10!.
2. Kwenye freedom of movement provided na katiba yetu, kila mtu yuko huru kwenda popote, kuishi popote bila kuvunja sheria yoyote!.
3. Kila mtu anayo haki ya faragha, the right to privacy, inayolindwa na katiba, huna ruhusa ya kuingilia uhuru wake wa faragha kwa kumuulizia alipo unless kama ni public fugure who is paid by taxpayers money or ni mhalifu anayetafutwa kwa tuhuma zozote za jinai!.
As long as hakuna tuhuma zozote za jinai kumhusu Yusuf Manji, hivyo leave him alone!, msiingilie uhuru wa watu bila sababu!.
P
Matajiri wote duniani wanakopa!, kuanzia Billy Gate, Aliko Dangote, Reginald Mengi, Mo Dewji na wengine wote, wanakopa!.Manji ana pesa ya Urithi hawezi kukopa!
Jah people hakopiMatajiri wote duniani wanakopa!, kuanzia Billy Gate, Aliko Dangote, Reginald Mengi, Mo Dewji na wengine wote, wanakopa!.
P
[emoji1787][emoji1787]Atakuwa ndiye yule mkopaji wa zile benki 5 huyo
[emoji1547][emoji1547][emoji1319][emoji1319][emoji1319]1. Yusuf Manji yuko zake mahali alipo hana tatizo lolote, sio kosa lolote kisheria mtu kukopa benki zozote hata mabenki 10!.
2. Kwenye freedom of movement provided na katiba yetu, kila mtu yuko huru kwenda popote, kuishi popote bila kuvunja sheria yoyote!.
3. Kila mtu anayo haki ya faragha, the right to privacy, inayolindwa na katiba, huna ruhusa ya kuingilia uhuru wake wa faragha kwa kumuulizia alipo unless kama ni public fugure who is paid by taxpayers money or ni mhalifu anayetafutwa kwa tuhuma zozote za jinai!.
As long as hakuna tuhuma zozote za jinai kumhusu Yusuf Manji, hivyo leave him alone!, msiingilie uhuru wa watu bila sababu!.
P
Jah people hakopi
Na mimi nauliza Benard Membe yuko wapi, mbona kimya sana?Huyu kada mkongwe wa CCM na Diwani mstaafu wa Mbagala amekuwa kimya sana kwenye Siasa za Tanzania
Yuko wapi Huyu Mwamba?