Yuko wapi Bilionea Yusuf Manji?

Yuko wapi Bilionea Yusuf Manji?

Huyu kada mkongwe wa CCM na Diwani mstaafu wa Mbagala amekuwa kimya sana kwenye Siasa za Tanzania

Yuko wapi Huyu Mwamba?
1. Yusuf Manji yuko zake mahali alipo hana tatizo lolote, sio kosa lolote kisheria mtu kukopa benki zozote hata mabenki 10!.

2. Kwenye freedom of movement provided na katiba yetu, kila mtu yuko huru kwenda popote, kuishi popote bila kuvunja sheria yoyote!.

3. Kila mtu anayo haki ya faragha, the right to privacy, inayolindwa na katiba, huna ruhusa ya kuingilia uhuru wake wa faragha kwa kumuulizia alipo unless kama ni public fugure who is paid by taxpayers money or ni mhalifu anayetafutwa kwa tuhuma zozote za jinai!.

As long as hakuna tuhuma zozote za jinai kumhusu Yusuf Manji, hivyo leave him alone!, msiingilie uhuru wa watu bila sababu!.
P
 
Umetoa Majibu Mengi sana!
 
Akionekana akitaka udiwani mtampa sijui kwann anahusishwa na hili suala la kukopa kama mkopaji nchi hii ni yeye tu 😃
 
1. Yusuf Manji yuko zake mahali alipo hana tatizo lolote, sio kosa lolote kisheria mtu kukopa benki zozote hata mabenki 10!.

2. Kwenye freedom of movement provided na katiba yetu, kila mtu yuko huru kwenda popote, kuishi popote bila kuvunja sheria yoyote!.

3. Kila mtu anayo haki ya faragha, the right to privacy, inayolindwa na katiba, huna ruhusa ya kuingilia uhuru wake wa faragha kwa kumuulizia alipo unless kama ni public fugure who is paid by taxpayers money or ni mhalifu anayetafutwa kwa tuhuma zozote za jinai!.

As long as hakuna tuhuma zozote za jinai kumhusu Yusuf Manji, hivyo leave him alone!, msiingilie uhuru wa watu bila sababu!.
P
Duh! Kama maafisa wa benki walifanya "due diligence" zao kimangumashi na wakatoa mkopo wa mabilioni ya fedha kwa "multiple borrower" ambaye alikuwa hana hata dhamana za mkopo za uhakika, basi hilo ni tatizo la ndani la benki husika. Juzi tu tumesikia mauaji ya kikatili yaliyotokea Kibaha, ni mfano wa kashfa kubwa kama hizi katika kutafuta kufuta ushahidi.
 
1. Yusuf Manji yuko zake mahali alipo hana tatizo lolote, sio kosa lolote kisheria mtu kukopa benki zozote hata mabenki 10!.

2. Kwenye freedom of movement provided na katiba yetu, kila mtu yuko huru kwenda popote, kuishi popote bila kuvunja sheria yoyote!.

3. Kila mtu anayo haki ya faragha, the right to privacy, inayolindwa na katiba, huna ruhusa ya kuingilia uhuru wake wa faragha kwa kumuulizia alipo unless kama ni public fugure who is paid by taxpayers money or ni mhalifu anayetafutwa kwa tuhuma zozote za jinai!.

As long as hakuna tuhuma zozote za jinai kumhusu Yusuf Manji, hivyo leave him alone!, msiingilie uhuru wa watu bila sababu!.
P
[emoji1547][emoji1547][emoji1319][emoji1319][emoji1319]
 
Back
Top Bottom