Yuko wapi Bilionea Yusuf Manji?

Yuko wapi Bilionea Yusuf Manji?

Bakhresa anakopa wapi?
Taasisi gani inakopa wapi ni internal affairs zake!, kama nimekueleza hata Bill Gate anakopa, Aliko Dangote anakopa, Bakhressa ndio nani asikope?.

Hata wenzetu wote walioendelea mtu anajenga nyumba kwa mortgage finance, watu wananunua mahitaji yao yote kwa credit card, ni uchumi wa watu masikini tuu ndio cash based!.
P
 
Mzee yule kumbe anajihusisha na mambo ya riba
 
As long as hakuna tuhuma zozote za jinai kumhusu Yusuf Manji, hivyo leave him alone!, msiingilie uhuru wa watu bila sababu!.
P.
Yusuf Manji ni mtu muhimu mno kwa taifa letu; hasa kwa maswala ya uchumi au uwekezaji kwenye nchi yetu. Possibly aliyeuliza swali si kwamba anataka kuingilia uhuru wa mtu, bali anataka kujua kwamba kwa potential aliyonayo mtu huyu, yuko wapi sasa na anafanya investment zipi kwenye nchi yetu kwa sasa

Muuliza swali angeweza kuniulizia hata mimi, assuming lengo lake lingekuwa ni kuingila uhuru wa watu
cc: johnthebaptist
 
1. Yusuf Manji yuko zake mahali alipo hana tatizo lolote, sio kosa lolote kisheria mtu kukopa benki zozote hata mabenki 10!.

2. Kwenye freedom of movement provided na katiba yetu, kila mtu yuko huru kwenda popote, kuishi popote bila kuvunja sheria yoyote!.

3. Kila mtu anayo haki ya faragha, the right to privacy, inayolindwa na katiba, huna ruhusa ya kuingilia uhuru wake wa faragha kwa kumuulizia alipo unless kama ni public fugure who is paid by taxpayers money or ni mhalifu anayetafutwa kwa tuhuma zozote za jinai!.

As long as hakuna tuhuma zozote za jinai kumhusu Yusuf Manji, hivyo leave him alone!, msiingilie uhuru wa watu bila sababu!.
P
Wewe ni mke wake na manji?
 
Inasemekana huwa wanakopa kama kizugio tu ili ionekane hawawezi mudu ila uhalisia wanakua na cash
Yes this is true, for auditing purposes lazima books of account ziwe clean kuonyesha cash flow. Kuna wafanya biashara wengi wametajirika kwa fedha za 'sembe', lazima ukope bank kuonyesha sources of funds, kisha unazichomekea kurejesha mkopo huku vitabu vikionyesha cash flow ya unatengeneza faida.

Ukiangalia investment ya uwekezaji uliofanyika Azam TV na Chamazi na vile viwanda, sio pesa za Ice Cream!.
P
 
Anamikopo kibao, malori yake mgoloro hajanunua cash
ndiyo biashara kubwa ziko hivyo, matajiri wote duniani wan mikopo benki na taasisi zingine tene mikubwa tu, na wewe fanya mpango uaminike na mabenki utakopa utakuwa tajiri pengine kuzidi hata Manji
 
Alikutana na chuma mchato JPM akashikishwa kuta za jela huku akishindwa kuvuta yale maunga yake arosto ikamchapa alipopata kaupenyo kakuchoropoka hajawahi kuangalia nyuma
sikia usifate mkumbo manji hatumii dawa za kulevya,manji anatoka ukoo wa mtu safi mno mr manji wa quality garage na ana utajiri yapata nchi kama 22 hivi,tafiti vizuri utajua
 
1. Yusuf Manji yuko zake mahali alipo hana tatizo lolote, sio kosa lolote kisheria mtu kukopa benki zozote hata mabenki 10!.

2. Kwenye freedom of movement provided na katiba yetu, kila mtu yuko huru kwenda popote, kuishi popote bila kuvunja sheria yoyote!.

3. Kila mtu anayo haki ya faragha, the right to privacy, inayolindwa na katiba, huna ruhusa ya kuingilia uhuru wake wa faragha kwa kumuulizia alipo unless kama ni public fugure who is paid by taxpayers money or ni mhalifu anayetafutwa kwa tuhuma zozote za jinai!.

As long as hakuna tuhuma zozote za jinai kumhusu Yusuf Manji, hivyo leave him alone!, msiingilie uhuru wa watu bila sababu!.
P
Ahsante kwa kunijibia huyu mtu.Nilitaka kumjibu bahati nzuri nikaona umemjibu kisheria zaidi.Hivi yeye mfano nikamuambia mke wake yuko wapi atanielewaje?
Ajabu avatar jina lake lina udini
 
Back
Top Bottom