Bakhresa anakopa wapi?Waliotangulia walikopa ndio wakatajirika, waliopo wanakopa, wanatajirika!.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bakhresa anakopa wapi?Waliotangulia walikopa ndio wakatajirika, waliopo wanakopa, wanatajirika!.
P
Taasisi gani inakopa wapi ni internal affairs zake!, kama nimekueleza hata Bill Gate anakopa, Aliko Dangote anakopa, Bakhressa ndio nani asikope?.Bakhresa anakopa wapi?
Mzee yule kumbe anajihusisha na mambo ya ribaTaasisi gani inakopa wapi ni internal affairs zake!, kama nimekueleza hata Bill Gate anakopa, Aliko Dangote anakopa, Bakhressa ndio nani asikope?.
Hata wenzetu wote walioendelea mtu anajenga nyumba kwa mortgage finance, watu wananunua mahitaji yao yote kwa credit card, ni uchumi wa watu masikini tuu ndio cash based!.
P
Kukopa sio lazima riba!. Tuna benki ya Amana hawatozi riba.Mzee yule kumbe anajihusisha na mambo ya riba
P.As long as hakuna tuhuma zozote za jinai kumhusu Yusuf Manji, hivyo leave him alone!, msiingilie uhuru wa watu bila sababu!.
Amana bank sidhani kama wana mtaji wa kumkopesha BakhresaKukopa sio lazima riba!. Tuna benki ya Amana hawatozi riba.
P
Usidharau watu, maana haujui huwa anakopa wapi na kiasi gani!.Amana bank sidhani kama wana mtaji wa kumkopesha Bakhresa
Wewe ni mke wake na manji?1. Yusuf Manji yuko zake mahali alipo hana tatizo lolote, sio kosa lolote kisheria mtu kukopa benki zozote hata mabenki 10!.
2. Kwenye freedom of movement provided na katiba yetu, kila mtu yuko huru kwenda popote, kuishi popote bila kuvunja sheria yoyote!.
3. Kila mtu anayo haki ya faragha, the right to privacy, inayolindwa na katiba, huna ruhusa ya kuingilia uhuru wake wa faragha kwa kumuulizia alipo unless kama ni public fugure who is paid by taxpayers money or ni mhalifu anayetafutwa kwa tuhuma zozote za jinai!.
As long as hakuna tuhuma zozote za jinai kumhusu Yusuf Manji, hivyo leave him alone!, msiingilie uhuru wa watu bila sababu!.
P
Nimekuuliza,wewe ni mke wake na manji?Nimemjibu, kwenye ile 1st sentence, kuwa Yusuf Manji yuko pale alipo!. Analindwa na sheria ya the right to privacy, mtu huruhusiwi kumuulizia a whereabouts za a private person yuko wapi!.
P
Inasemekana huwa wanakopa kama kizugio tu ili ionekane hawawezi mudu ila uhalisia wanakua na cashHakuna tajiri ambaye hakopi kama ilivyo hakuna utajiri bila unyonjaji!.
P
Alizoea vya kunyonga, vya kuchinja vimemkwazaYeye ni mfanyabiashara huwezi kusema hakopi
Shida ni hili suala la leo yeye kuhusishwa kama vile nchi hii ni yeye tu ndio mkopaji 😃
Yes this is true, for auditing purposes lazima books of account ziwe clean kuonyesha cash flow. Kuna wafanya biashara wengi wametajirika kwa fedha za 'sembe', lazima ukope bank kuonyesha sources of funds, kisha unazichomekea kurejesha mkopo huku vitabu vikionyesha cash flow ya unatengeneza faida.Inasemekana huwa wanakopa kama kizugio tu ili ionekane hawawezi mudu ila uhalisia wanakua na cash
ndiyo biashara kubwa ziko hivyo, matajiri wote duniani wan mikopo benki na taasisi zingine tene mikubwa tu, na wewe fanya mpango uaminike na mabenki utakopa utakuwa tajiri pengine kuzidi hata ManjiAnamikopo kibao, malori yake mgoloro hajanunua cash
sikia usifate mkumbo manji hatumii dawa za kulevya,manji anatoka ukoo wa mtu safi mno mr manji wa quality garage na ana utajiri yapata nchi kama 22 hivi,tafiti vizuri utajuaAlikutana na chuma mchato JPM akashikishwa kuta za jela huku akishindwa kuvuta yale maunga yake arosto ikamchapa alipopata kaupenyo kakuchoropoka hajawahi kuangalia nyuma
Jah pipo kumbe ana mzigo?Anamikopo kibao, malori yake mgoloro hajanunua cash
Ahsante kwa kunijibia huyu mtu.Nilitaka kumjibu bahati nzuri nikaona umemjibu kisheria zaidi.Hivi yeye mfano nikamuambia mke wake yuko wapi atanielewaje?1. Yusuf Manji yuko zake mahali alipo hana tatizo lolote, sio kosa lolote kisheria mtu kukopa benki zozote hata mabenki 10!.
2. Kwenye freedom of movement provided na katiba yetu, kila mtu yuko huru kwenda popote, kuishi popote bila kuvunja sheria yoyote!.
3. Kila mtu anayo haki ya faragha, the right to privacy, inayolindwa na katiba, huna ruhusa ya kuingilia uhuru wake wa faragha kwa kumuulizia alipo unless kama ni public fugure who is paid by taxpayers money or ni mhalifu anayetafutwa kwa tuhuma zozote za jinai!.
As long as hakuna tuhuma zozote za jinai kumhusu Yusuf Manji, hivyo leave him alone!, msiingilie uhuru wa watu bila sababu!.
P
Sikia, usinipangie cha kufuata.sikia usifate mkumbo manji hatumii dawa za kulevya,manji anatoka ukoo wa mtu safi mno mr manji wa quality garage na ana utajiri yapata nchi kama 22 hivi,tafiti vizuri utajua