City Of Lies
Platinum Member
- Sep 8, 2011
- 6,073
- 7,997
Magufuli Vs Askofu NiwemugiziHahaha π Gwajiboy ni Jasusi la mbinguni. Familia ya wale wote wanaohusika wamejilaani maana hata enzi na enzi zinajulikana hakuna aliyeshindana na nguvu ya Mungu akatoboa. Death Death Death is coming kwa watawala, be assured. Sisi wakereketwa wa Dkt Magufuli tunao ushahidi, he is dead! π. So tega sikio, kama Dkt Magufuli died kwa kuminya demokrasia na kunyanyasa viongozi wa dini je nani atasimama????? Ni mtu mjinga tu na idiot will fight na watu wa Mungu. Uzuri mambo ya Mungu it can take sometimes ila nakuhakikishia lipo. Ushahidi ni mwingi wa waliokufa baada ya kugombana na viongozi wa dini. Rejea huu uzi ikitokea.
Kuna tofauti kati ya kutapeli na kutoa uhai wa mtu yaani kesi mbili tofauti.Gwajima alifanikiwa kutapeliwa wafuasi wake lakini kwa Mungu hataweza.
Hili swala la kukutwa na Ngada, siamini kabisa.Inasemekana jamaa wamekuta ngada pale Ufufuo
Daah wewe jamaa ni wa kitambo huku jfKwa taarifa kutoka kwa house girl wake,Yuko kwake kajifungia akikabiliwa na msongo mkubwa wa mawazo,kwani hakutarajia ofisi zake zinazomwingizia kipato zitafungwa zote kwa mkupuo
Hoja zake vip lakini, watu hawatekwi?Si kweli. Mungu si mwanasiasa na wala akina Gwajima siyo watu wa Miungu bali wagangajaa wanaouza neno kwa sababu wana roho mtakakitu
Kibao ana makosa gani? Je yupo wapi? Mdude pia?Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.
Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.
Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. πππππππ
Hujui dunia , hata Rc nenda jaribu mgusa Askofu kindezi ,wapo masister utawakuta wako kwenye msafara wa Askofu sasa siku jichanganye, Fr kitima waliomshambulia wana bahati sana, ila ipo siku watajua hawajui
Kwa Nini ajifiche?Atoke mafichoni kama kweli yeye ni askofu wa kweliBaada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.
Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.
Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. πππππππ
Mda utaongea msije kuja na nyuzi zenu za kulia Lia chawa tunawafahamuBaada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.
Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.
Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. πππππππ
ππ,jf niligundua 2008,,ila nilihangaika ku regist Hadi 2011,,ilihitaji email na kipindi hicho email yalikua mambo mageni..,so kabla ya jf vijiwe vyangu ilikuwa ni THE GRID na TOPFUNπ€Daah wewe jamaa ni wa kitambo huku jf
Two possibility.I am serious, hivi yupo wapi?
Unatokea mapori ya kijiji gani?Hujui dunia , hata Rc nenda jaribu mgusa Askofu kindezi ,wapo masister utawakuta wako kwenye msafara wa Askofu sasa siku jichanganye, Fr kitima waliomshambulia wana bahati sana, ila ipo siku watajua hawajui
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.
Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.
Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. πππππ
KwenuUnatokea mapori ya kijiji gani?
Acha kumdharau MUNGU mara mojaDini iwe hiyo ya Gwajima mfufuaji wa misukule ya usanii