Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,559
- 3,586
Zwazwa ni wewe ambaye unayatazama mambo ktk frequency zinazoishia kisogoni kwako tuAcha uzwazwa na usitutishe wala hatutishiki wala kustuka. Acha apate stahiki yake kwa waliomuumba kisiasa akajiumbua mwenyewe kwa tamaa na uzwazwa. Na bado.
Gwajima ni projectBaada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.
Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.
Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. πππππππ
Nimesoma pumba na vitisho vyako na sikpata la kujibu zaidi ya kushangaa kama kweli kichwa chako kina ubongo timamu au uoza tu kama siyo makamasi. Sina la ziada zaidi ya hili.Zwazwa ni wewe ambaye unayatazama mambo ktk frequency zinazoishia kisogoni kwako tu
Na wewe nakuuliza swali hilohilo: Huu ujinga wako uliouleta hapa kumbe unamtisha nani ndugu Leo X ?
Sikiliza ndugu
Sisi wengine tunatazama kila tukio, kila kauli na kila jambo la nchi hii ktk frequency beyond normal human imaginations!
Kama wewe unatutisha sisi kwa ujinga huu (hata hivyo no body can take that rubbish). Lakini haya unayosoma na yakutishe kwa usawia wake ili kama una akili njema, ukimbie na ujiokoe nafsi yako!
Tunataka athibitishe ujasiri na ukweli vyake na si woga japo hoja yake ina mashiko. Anaogopa nini kama hajavunja sheria au kuna zaidi ya haya? Nadhani anajua alivyokuwa akiishi kwa utapeli wa kidini na kisiasa na sasa waliomuunda wameamua kumfumua.Unataka wa nn? Na we itakusaidia nn?
Muachage ushabiki usio Kuna na maana
Kama wewe ni msoma Quaran ya Kiislamu huwezi kujua wala kuona point yoyote. Hilo, nakusamehe na kukuonea huruma:Nimesoma pumba na vitisho vyako na sikpata la kujibu zaidi ya kushangaa kama kweli kichwa chako kina ubongo timamu au uoza tu kama siyo makamasi. Sina la ziada zaidi ya hili.
Mwache jajusi letu,mnafikiri gwajima ni mdudeBaada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.
Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.
Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. πππππππ
Kiongozi wa dini lazima awe mnyenyekevu na msamehevu,kiongozi wa dini huwezi kuwa unarumbana na wanasiasa na kuwaita ponjoro,,yule ni muhuniNi kipi kilikukwaza kwenye kauli yake ya pili ndani ya kanisa lake?
Ni sehemu aliyoitolea (kanisani) au ni maneno yake kujibu hoja za waliomshambulia?
Ndugu Kalamu ulitaka anyamaze hata baada ya kushambuliwa ktk namna ya kumdhalilisha kwa kosa ambalo actually halipo?
Hapana. Kama unachukia imani yake na staili yake ya kuhubiri, hilo ni tatizo lako. Lakini yote aliyoongea kwenye PC ya trh 24/5/2025 au juzi kanisani kwake ni fact tupu. Hayo ndiyo yamewakera jamaa wa Futungo State au Parallel State..
Aahπ€π€Kiongozi wa dini lazima awe mnyenyekevu na msamehevu,kiongozi wa dini huwezi kuwa unarumbana na wanasiasa na kuwaita ponjoro,,yule ni muhuni
Hivi walikua na Tatizo?Mbobezi Vs Aliyekuwa askofu wa Lindi
Wanatapeli waumini vipi waibaji wa kura?Watu sio wajinga bana, anasomeka kama kioo. Kujiita jasusi la mbinguni kunazidi kujidhihirisha ujinga ule ule wa kujivika utukufu na kujifanya miungu watu ili kuwapiga waumini wao pesa. What the hell does "jasusi wa mbinguni" even supposed to mean?
Maovu yapo, utekaji upo, binafsi nikiri kwamba labda niko biased against viongozi wa dini style za akina Gwajima kiasi kwamba hata kama anachokisema ni kweli, I dont trust kama anakisema kwa nia njema. Hawa watu wanawatapeli mno waumini wao na utapeli kwangu ni uovu namba moja kabla sijaenda kwa maovu mengine.
Hakua watu washenzi kama Wanasiasa wahuni ni kwenda nao kihuniKiongozi wa dini lazima awe mnyenyekevu na msamehevu,kiongozi wa dini huwezi kuwa unarumbana na wanasiasa na kuwaita ponjoro,,yule ni muhuni
Big mno, mbobezi alijenga church kama old ceo, askf akagoma kufungua kwa sababu taratibu hazikufuatwa mambo mwisho wa siku ndiyo laana hizoHivi walikua na Tatizo?
Hata Mungu alimuepusha Yesu kuuwawa na Herode akawafanya Mamajusi wabadilishe njia. Gwajima anajua kilichompata Boni Mwangi wa kenya anajiepusha na hilo na Mungu atamlinda tu. Nchi imeharibika bwanaBaada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.
Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.
Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. πππππππ
Siongelei 'facts', hilo unalielewa na wala lisingekuwa swali la kuniuliza mimi.Ni kipi kilikukwaza kwenye kauli yake ya pili ndani ya kanisa lake?
Ni sehemu aliyoitolea (kanisani) au ni maneno yake kujibu hoja za waliomshambulia?
Ndugu Kalamu ulitaka anyamaze hata baada ya kushambuliwa ktk namna ya kumdhalilisha kwa kosa ambalo actually halipo?
Hapana. Kama unachukia imani yake na staili yake ya kuhubiri, hilo ni tatizo lako. Lakini yote aliyoongea kwenye PC ya trh 24/5/2025 au juzi kanisani kwake ni fact tupu. Hayo ndiyo yamewakera jamaa wa Futungo State au Parallel State..
Labda utueleze mchambuzi, kwani waliotekwa na kuuawa walifanya kosa gani kisheria, mbona hawakukamatwa na kufikishwa mahakamani?Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.
Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.
Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. πππππππ
Wenye namba za wale maaskofu wenza azimwage hapa tafadhali tumsake tuwone na tumjulie hali huyu mwamba.Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.
Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.
Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. πππππππ
Sasa kwani Gwajima ye ni mbunge wa chama gani? Si kile kile kinachoiba kura? Je yeye aliingia bungeni kwa uchaguzi halali? Leo hii anapojinasibu na kukemea maovu anasahau jinsi hata namna yake ya kuingia bungeni, kwanza kwa kampeni za kilaghai kabisa kuwadanganya watu kwa ahadi za kitoto kabisa, kabla ya ulaghai wa kimfumo enzi za Magufuli kumhakikishia anaingia bungeni, ndio mzizi wa uovu anaoukemea leo?Wanatapeli waumini vipi waibaji wa kura?