Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
Ndugu zangu watanzania kwa post hii nawakumbusha kuwa ...Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.
Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.
Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. πππππππ
Sijui kama kuna kilaza na zwazwa kama wewe ambaye unashindwa hata kuunganisha dots mbili. Why now not then? Kumbaff kabisa mafi ya kuku.Ndugu zangu watanzania kwa post hii nawakumbusha kuwa ...
Condom ni muhimu sanaa, sio kila K tunamwagia ndani.
Sperm nyengine hutuletea vilazaaaa kama hivi.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hawakutenda kosa lolote zaidi ya kujitambua na kudai haki zao na zetu. Kinachogomba kwa Gwajima ni ile hali ya kulala kitanda kimoja na CCM halafu kunakaribia kucha anachoropoka na kujifanya hakuwa nao akiua na kuteka. This is real bad.Labda utueleze mchambuzi, kwani waliotekwa na kuuawa walifanya kosa gani kisheria, mbona hawakukamatwa na kufikishwa mahakamani?
Utwambie wewe, mmeshamteka au bado?Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.
Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.
Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. πππππππ
Kwa hiyo bado ni mtu mbaya kujipambanua kuwa yupo nasi katika kulaani vitendo hivyo siyo?Hawakutenda kosa lolote zaidi ya kujitambua na kudai haki zao na zetu. Kinachogomba kwa Gwajima ni ile hali ya kulala kitanda kimoja na CCM halafu kunakaribia kucha anachoropoka na kujifanya hakuwa nao akiua na kuteka. This is real bad.
Kuwa mwanasiasa hakukunyimi sifa ya kuwa mtu wa Mungu, bali sifa hiyo inapotea utakapo tumia uanasiasa wako kutenda yaliyo kinyume na mapenzi ya Mungu kama Kuteka au kunyamazia utekaji, mauaji au kulinda uuaji kwa ajili ya cheo chako na hata wizi na ufisadi wa mali za wanyonge.Kwani wanasiasa siyo watu wa Mungu au umechanganya mambo kama siyo kukuchanganya ukachanganikiwa?
Hakuna sehemu kwenye maelezo yangu nimekutukana, nje ya kukuambia tu ukweli.Matusi yako yanaonyesha wewe ni nani. Ficha uzwazwa na uonyeshe hekima. Shame on you!
Hivi kwanini jamaa hakumfufua mpendwa wetu Jiwe, yeye si nimfufuaji au ilikuwa mambo ya nitoke vipi?Hahaha π Gwajiboy ni Jasusi la mbinguni. Familia ya wale wote wanaohusika wamejilaani maana hata enzi na enzi zinajulikana hakuna aliyeshindana na nguvu ya Mungu akatoboa. Death Death Death is coming kwa watawala, be assured. Sisi wakereketwa wa Dkt Magufuli tunao ushahidi, he is dead! π. So tega sikio, kama Dkt Magufuli died kwa kuminya demokrasia na kunyanyasa viongozi wa dini je nani atasimama????? Ni mtu mjinga tu na idiot will fight na watu wa Mungu. Uzuri mambo ya Mungu it can take sometimes ila nakuhakikishia lipo. Ushahidi ni mwingi wa waliokufa baada ya kugombana na viongozi wa dini. Rejea huu uzi ikitokea.
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.
Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.
Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. πππππππ
Dada yangu haujui ? Hizo ni mbinu za kivita au ulitaka akamatwe kama Mamako wa kijiji cha Namtombo ?Kumbe joga
mbona unatuuliza sisi umeanza kutembea na kilainishi? maana mmeshanogewa kuchezea mafiBaada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.
Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.
Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. πππππππ
wacha kutupiga kamba wewe, Mungu hajaambia viongozi wa dini wazungumze siasa. Halafu hao viongozi wenyewe wamejichagua na kujibandika hizo titles.Namaanisha unapoanzisha vita na viongozi wa dini unapambana na Mungu mwenyewe!
Tukimteka, tutawajulisha ila hamtajua alipo na atakavyoisha.Utwambie wewe, mmeshamteka au bado?
The united republic of gangster....
Kumbe wewe mseengeembona unatuuliza sisi umeanza kutembea na kilainishi? maana mmeshanogewa kuchezea mafi
Anachokifanya ni sahihi kwasababu anawatetea wananchi wanaotekwa na kupotezwa bila hatia ila wanaoteka na kupoteza watu wanaona anachokifanya si sawaBaada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.
Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.
Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. πππππππ
Kama Yuko uraiani,ni wazi kuwa ghwajima hakutegemea kabisa hili la kufutwa taasisi yake,Ina maana anajua akichomoza Tena na kamdomoo,atarundikwa ndani na atapoteza mda mwingi sana..Subiri, anajipanga.
Usemacho ni kweli. Mara nyingi, matapeli kama hawa hujichimbia kaburi bila kujua. Tangu mwanzo, wengi wenye akili walijua fika hili ni tapeli la kawaida. Alianza kuharibikiwa alipopata tamaa ya uheshimiwa asijue watachafuana kama ilivyotokea. He played God and now God is punishing him. Kumbuka lile tapeli la kinigeria TB Joshua?Kama Yuko uraiani,ni wazi kuwa ghwajima hakutegemea kabisa hili la kufutwa taasisi yake,Ina maana anajua akichomoza Tena na kamdomoo,atarundikwa ndani na atapoteza mda mwingi sana..