cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Vipi nae pouzy zake?Yupo insta huko.
Ila napenda anavyoimba[emoji7]
Matusi je?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi nae pouzy zake?Yupo insta huko.
Ila napenda anavyoimba[emoji7]
Me mwenyewe naikubali sana ivi inaitwaje mkuu?Binafsi movie pekee niliyoikubali ya Hemedy ni ile wamo na Mlela ( imeshutiwa Mererani ).
Siku hizi amekuwa muuza sura sana kuliko KAZI.
Sikumbuki aiseeMe mwenyewe naikubali sana ivi inaitwaje mkuu?
Hahahahahahahahaahahahaha.....Kuna siku shabiki alimwambia 'Nguo uliyovaa umerudia' akajibu.
Kama ku.ma tu narudia sembuse nguo.
Hhh fala Sana[emoji38]Jamaa kipaji anacho lakini ndo tatizo letu wabongo wengi discipline ni zero linapokuja suala la kuhandle pressure , kaliwezea Mondi Tu ndo mana anapepea japo kipaji Tia maji Tia maji[emoji3]
Kivip [emoji1787][emoji1787]daah nimechekaAah jamaa lina mitusi balaa [emoji1787][emoji1787][emoji23]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kvp.. Yani sex auNapenda uimbaji wake ila hana promo tuu ila uimbaj wake mzuri kwenye matusi ni shida. [emoji1487][emoji1487]
Huyo simfuatiliagi ...matusi kuna siku nilimfuma walah hemedi hakopeshi.Vipi nae pouzy zake?
Matusi je?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yupo kwenye series za Uhuru season 2, zinarushwa Mambo Tv ya star times..
Pamoja na mambo yake mengi, jamaa anajua sana kuigiza, ana kipaji kikubwa sana..
Maana ya hio a.k.a yake ya PHD unaifahamu kwanza mkuu?Wacha awapge na mijimvua ya mitusi maana wabongo wajuaji sana. Na mi nasema meddy awagonge tu hakuna namna
😃😃😃 anaona saa nyingine wabongo wanataka kumpanda kichwani inabidi awape matusi kuwatuliza munkari.Jamaa kipaji anacho lakini ndo tatizo letu wabongo wengi discipline ni zero linapokuja suala la kuhandle pressure , kaliwezea Mondi Tu ndo mana anapepea japo kipaji Tia maji Tia maji😀
Nasikia bado anaishi kwa mamakeWakuu
Huyu jamaa sijamsikia kitambo.. kaacha music au vipi?
Kama kuna mtu mwenye info zake anijuze tafadhali.
Nilijua ana PhD kutoka Havard university.Maana ya hio a.k.a yake ya PHD unaifahamu kwanza mkuu?
P.H.D -Pretty Huge Dic.k
Anayo shida kichwani yule.
Duuh, mwamba huwa namuona Tipsy ya Mikocheni. Wanaomuuliza waende pale wakimkuta wampe ofa ya pombe ili wajadili nae Music.Aliambiwa na mshabiki wake huko IG we ni shoga tu,nae akajibu ndio niko nampa mume wetu doggystyle na akimaliza namtengea chai mume wetu.
Mwehu yule.