sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
AiseeNilimkuta Kinondoni anatoka kwenye nyumba imechoka kweli..nilipowauliza washkaji wakadai ndio alipopanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeNilimkuta Kinondoni anatoka kwenye nyumba imechoka kweli..nilipowauliza washkaji wakadai ndio alipopanga
Binafsi movie pekee niliyoikubali ya Hemedy ni ile wamo na Mlela ( imeshutiwa Mererani ).
Siku hizi amekuwa muuza sura sana kuliko KAZI.
Hajatilia tu mkazo lakini kipaji anacho Sana.Labda kwenye bongo movie huko ndipo tuongee lakini sio mziki.
Mziki sio fani ya Hemedi hata kidogo. Ana uimbaji wa mtu anaejifunza mziki. Bado sana kumwita msanii wa kueleweka. Na ndio maana hadi leo tokea ameanza kuimba si angekuwa hata ameanza kushika chati mbali mbali au kupewa show. Ila hakuna hicho kitu.....
Nime maanisha kipaji. Mtu anaejua kuimba anajulikana na huwa hatumii nguvu kushawishi sikio la mtu kuwa anajua kuimba.Hajatilia tu mkazo lakini kipaji anacho Sana.
Umaarufu siyo kipaji.
Tofautisha umaarufu na kipaji.
Mimi sijatumia Tusker project kama criteria ya kumuweka kwenye kundi la wenye vipaji.Nime maanisha kipaji. Mtu anaejua kuimba anajulikana na huwa hatumii nguvu kushawishi sikio la mtu kuwa anajua kuimba.
Sauti ya Hemedi kwanza sio ya kuimba. Kupita katika shindano la Tusker Project Fame haikuwa sababu ya kusema he is the best, mind you kura za haya mashindano mostly huwa zinakuwa biased na mambo mengi, kuna watu walikuwa wanampigia kura sababu ya muonekano na sio uwezo wa kuimba, therefore hiyo futa.
Ila kimsingi fani ya kuimba anatumia nguvu nyingi sana sio fani yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulisema..Nime maanisha kipaji. Mtu anaejua kuimba anajulikana na huwa hatumii nguvu kushawishi sikio la mtu kuwa anajua kuimba.
Sauti ya Hemedi kwanza sio ya kuimba. Kupita katika shindano la Tusker Project Fame haikuwa sababu ya kusema he is the best, mind you kura za haya mashindano mostly huwa zinakuwa biased na mambo mengi, kuna watu walikuwa wanampigia kura sababu ya muonekano na sio uwezo wa kuimba, therefore hiyo futa.
Ila kimsingi fani ya kuimba anatumia nguvu nyingi sana sio fani yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmmmhmn unajua mtu anayeweza mziki hautatumia nguvu nyingi kumtambulisha....?! Mimi kila unapotaja hilo jina la Hemedi, inakuja picha ya muigizaji wa Tamthilia za bongo movie na sio mwanamuziki au mtu anayejua kuimba.......Ulisema..
Nachotaka..
Alcohol..
Hizi nyimbo zilimpa show sana..
Je wajua kundi la Wasafi mwanzo liliundwa na Diamond na Hemed na wakipiga sana show kwa pamoja kabla ya Diamond kuwa mkubwa zaidi..
Jamaa alivyoanza kubase kwenye filamu/tamthilia akaanza kufanya mziki kama starehe...
Kama unasema jamaa hajui kuimba anaimba kama anajifunza basi mwenzetu unaujua muziki kuliko sisi...Hongera
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1544]Maaanina zako, tatizo ni ubongo wako mdogo... nini wese mi nitakupiga miti mikavu bwege wewe.
Kuitwa muuza sura ni kusifiwa?
Daah, what a wese [emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kwanini usifie sura ya mwanaume mwenzio?
Bora hata utaje kazi yake kama sisi wengine au hata matusi yake
Utakuja kupakwa wese
HahahahaYuko Instagram, anatukana kinyama [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe ukumtunuku papa kweli, maana mabinti mlivyokuwa mnashobokea wasaniii sidhani kama alikuacha.Aah jamaa lina mitusi balaa [emoji1787][emoji1787][emoji23]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ndio kijiwe chake pendwa hana majivuno mtu mmoja wa kujichanganya sana na watu pale tipsy.Duuh, mwamba huwa namuona Tipsy ya Mikocheni. Wanaomuuliza waende pale wakimkuta wampe ofa ya pombe ili wajadili nae Music.
Tobaaaa[emoji44][emoji44][emoji44]Hana sura nzuri yeyote yule ,kwa Bongo HB naona ni Ben Kinyaiya.