Yuko wapi Hamed Phd?

Yuko wapi Hamed Phd?

Jamaa kipaji anacho lakini ndo tatizo letu wabongo wengi discipline ni zero linapokuja suala la kuhandle pressure , kaliwezea Mondi Tu ndo mana anapepea japo kipaji Tia maji Tia maji[emoji3]
Diamond kipaji tia maji?
 
Hemed ni msanii anaeimba muziki mzuri unaoishi
Halafu habani sauti ndo anaimba hivyo hivyo na anapatia
Aliwahi kuwa mshindi wa 3 kama sikosei
Kwenye tusker project fame.huko Kenya

Tatizo jamaa linatukana sanaaa matusi ya rejareja
 
Tatizo wabongo wana shobo sana huko mitandaoni kutaka kupangia watu style za kuishi, sasa jamaa huwa hakopeshi ukijichanganya tu kwenye 18 zake anakupa kubwa 😂😂😂 wala hawazi!
 
Back
Top Bottom