Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kweli lifestyle ya jamaa nimeipenda sana yaani lenyewe halikukopeshi linakupa matusi ya rejarejaTatizo wabongo wana shobo sana huko mitandaoni kutaka kupangia watu style za kuishi, sasa jamaa huwa hakopeshi ukijichanganya tu kwenye 18 zake anakupa kubwa 😂😂😂 wala hawazi!