Yuko wapi Henry Kisanduku aliyemnyooshea Nape bastola?

Kwa jiwe tulishuhudia mengi,kwa maza tutashuhudia mengi zaidi... Riz waziri?
 
Nape ilifaa apewe uwaziri mambo ya ndani Ili awasake wahuni wa bashite wote watueleze wasiojulikana ni kina nani
Good luck aya ushamjua utamfanya nini?
 
What a dumbass!!

Sasa unamlaumu MAGUFULI kwa lipi? Au hujui kwamba ni yeye aliyemteua Adam Malima?
 
Kitenge ni TISS
Na yuko wapi Maulid Kitenge aliyemthibiti Kisanduku


Hakuna kitu cha muhimu kwenye maisha kama kujua kwamba kuna kesho na kuelewa kwamba mambo ya leo sio ya kesho.

Kisanduku Kisanduku[emoji38][emoji38]
 
Mna haki sawa ya kugombea nini?
Mama akumbuke kwamaba 2025 wanaccm wote tuna haki sawa ya kugombea, hana ujanja.

Mwaka 2025 sio mwaka wa kuchapisha form 1 ya urais, ni form kama zote na mimi nachukua.
 
Kisanduku alikuwa anatimiza maagizo ya Wakubwa.. Ni Mbwa tu alitumwa kubweka..

Hapa tuulizane yuko wapi aliyemtuma yule Mbwa kumbwekea Nape?
 
Usalama ni usalama , waziri ni waziri , usalama ni chombo kikubwa akiingiliwi kina siri kubwa tukiheshimu.
Usalama ni kwa ajili usalama na si kwa ajili kutenda jinai.

Kunyosheana mitutu ya bunduki hiyo ni kazi ya polisi wakiwa katika hali ya kukamata kwa kutumia nguvu, lakini si kwa wana usalama.

Wanausalama kazi yao ya msingi ni "kuchoma" na si kukamata wala kunyooshea mtu bunduki.

Akiburuzwa mahakamani atajitetea kivyake mwenyewe na mawakili wake, hakuna yeyote hata aliyemtuma atakayeonesha pua lake kumtetea.

Mfano hai ni kwa Sabaya, hapo vipi, tupo pamoja'eeh?
 
Na mwenyekiti wa hiyo ccm na katibu ni nani. Mnajichekesha kama Ndugai tu
Mama akumbuke kwamaba 2025 wanaccm wote tuna haki sawa ya kugombea, hana ujanja.

Mwaka 2025 sio mwaka wa kuchapisha form 1 ya urais, ni form kama zote na mimi nachukua.
 
Mwaka 2025 sio mwaka wa kuchapisha form 1 ya urais, ni form kama zote na mimi nachukua.
Kama miaka mingine Iliwezekana mwaka huu inashindikana nini?? Standard ikishakuwa manipulated tu ni ngumu sana kujifanya unairudisha standard.
 

(Natural) inafanya kazi yake.. malipo ni hapa hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…