Yuko wapi Makonda? Kwanini Serikali mnaruhusu hali hii?

Yuko wapi Makonda? Kwanini Serikali mnaruhusu hali hii?

tufahamishane

Member
Joined
Jun 22, 2024
Posts
28
Reaction score
30
Kwanza natanguliza samahani. Nimeona clip nyingi YouTube zikizungumza habari ambazo hazina Arya juu ya Arya ya makonda

Inasemekana kwa week mobile RC makonda hajaonekana hadharani. Kama kuna mtu ana uhakika na habari hizi au anajua huyu kipenzi cha wa Tanzania alipo atujuze
 
Ametulia mahali akitafakari na kubuni mbinu mpya za kuinyoosha Arusha.
Si yuko likizo?
 
Yupo Bay Creek Deira Dubai UAE kwa likizo yake. Ni mzima kabisa hana hata mafua. Na spinning kakianzisha mwenyewe kupima upepo na kweli mmeingia kingi mnaucheza muziki wake!
Mnakumbuka sehemu ya hotuba yake juu ya mawaziri wanaomtukana rais? Alimkabidhi mtukanwaji orodha na kaifanyaia kazi juzi na ndio kapewa bonus ya kwenda bay Creek Deira Dubai UAE kwa mwanamfalme.
 
Kwanza natanguliza samahani. Nimeona clip nyingi YouTube zikizungumza habari ambazo hazina Arya juu ya Arya ya makonda
Inasemekana kwa week mobile RC makonda hajaonekana hadharani. Kama kuna mtu ana uhakika na habari hizi au anajua huyu kipenzi cha wa Tanzania alipo atujuze
Usitusingizie kusema kipenzi cha Watanzania, labda sema kipenzi chako na familia yako. Watanzania tutampendaje mtu muuaji??
 
Huyu hapa kwetu ni Kiongozi, lakini amapotea zaidi ya wiki nne na jibu jepesi ni kuwa yuko Likizo.

Wapi na kwa kanuni gani maana kaajiriwa juzi tuu nafasi hiyo.

Jee yanataka kuwa kama yale ya kijana Ben Saanane aliyepotea (potezwa kiutani utani) zaidi ya miaka saba iliyopita na wazazi na ndugu wanashindwa kufanya matanga maana hawajui kafa au yuko hai?

Sasa kama inafika mahali hata kiongozi hajulikani alipo na hakuna taarifa rasmi?

Hata kama ni ugonjwa, nini kinashindikana kututaarifu?

Mbona serikali hii inapenda kulea majungu?

Mtuambie tuu hata kama zile dua za wazee wa Kinyaturu kule Ikungi zinafanya kazi! Twaweza kumuombea msamaha au kumshawishi aombe mwenyewe!

Kuweni wazi KONDAKTA yuko wapi?
 
Bila kujali ya huko nyuma !huyu mtu ni wa muhimu kwasasa kwetu ccm kuliko makada wengi!!
Aina ya siasa zake zinaleta Imani kwa wananchi kwamba ccm Bado ni chama kizuri!

Kupotea kwake Kuna leta ulakini lakini muda utatuambia!Britannica hawezi kuandika uongo!
 
Back
Top Bottom