Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Likizo kwa hao viongozi huwa inazidi mwezi?Kuna wakati mtu anaweza kuwa katika hali ya kutaka kuokolewa lakini ikashindikana kwasababu sisi sote tunaamini yupo Serikalini hivyo atakuwa salama.
Kuna tafsiri mbaya kwamba Serikali inaweza kufanya mambo ambayo siyo majukumu yake kikatiba na katika hili wengi wamekuwa wakisikika wakiilaumu Serikali kufanya hili au lile!
Ninachoamini ni kwamba Serikali haiwezi kufanya mambo ambayo ni kinyume cha Katiba na miongozo mbalimbali bali wapo baadhi ya watu kwa kutumia koti la Serikali wanaweza kufanya mambo ambayo ni kinyume cha Sheria mama.
TZ tufikirie nje ya box tuweze kuwabaini watu ambao hawatekelezi wajibu wao na badala yake wanatumia kila aina ya mbinu kujikinga na mwamvuli wa Serikali ili kutekeleza maovu mbalimbali.
Ni wazi kuwa kuna mikakati ya maksudi ya kuingia Serikalini ili kupata fursa ya kutumia Serikali kutekeleza nia zao za kiuhalifu.
Kuna wakati inatokea japo ni mara chache baadhi ya waanga wanakwenda mahakamani kuishtaki Serikali na wanafanikiwa lakini kama inavyofahamika mwisho wa siku adhabu inayotolewa wananchi wote wanaibeba kupitia kodi zetu lakini muusika aliyetumia koti la Serikali kufanya uhalifu haguswi.
Kuna kila sababu ya kusikiliza matakwa ya watu hawa wanaohoji juu ya kiongozi wao bila kujali idadi au hoja imekaa katika mazingira gani.
Kwani kuna ugumu gani kutoa ufafanuzi ambao hauachi maswali mengi?
Kwa mujibu wa wizara ya katiba na sheria, mtumishi wa umma aliyeteuliwa, anastahiki kupata likizo ya siku 28 kwa mwaka.Mshaambiwa yuko likizo
Ova
Wala sijui kwakweli nimesema tuAmedanja ndiyo maana yake nini?
🤣🤣🤣🤣watu mmeshindikana sasaAmetulia mahali akitafakari na kubuni mbinu mpya za kuinyoosha Arusha.
Hata wakati JPM anaumwa, tuliambiwa yanayofanana na hayo..!!! Lakini wakaja na taarifa ya kufa kwake..!! Tena tulikaziwa macho haswa na kuambiwa YUPO ANACHAPA KAZI, AU MLITAKA MUMUONE MAGOMENI? As if Magomeni ni Burundi ya kwa Mwigulu..!!Mshaambiwa yuko likizo
Ova
Hilo neno kipenzi cha watanzania kimenifanya nisiendelee kusoma ……Kwanza natanguliza samahani. Nimeona clip nyingi YouTube zikizungumza habari ambazo hazina Arya juu ya Arya ya makonda
Inasemekana kwa week mobile RC makonda hajaonekana hadharani. Kama kuna mtu ana uhakika na habari hizi au anajua huyu kipenzi cha wa Tanzania alipo atujuze
Ulewa wa Watanzania wa mambo nyeti uko chini sana. Makonda anawezaie kuwa kipenzi cha Wataznzania. Yule mtu mwenye zero brain anayenuka damu za watu mikononi mwake eti anaitwa kipenzi cha Watanzania???Hilo neno kipenzi cha watanzania kimenifanya nisiendelee kusoma ……
Ni lazima awe mke wa mkuu wa mkoa/kiongozi wa serikali ndo aweze kumuulizia?Mleta hoja kama mokonda ni mumeo nenda polisi katoe taarifa kuwa humuoni mumeo home.
Acha kutuletea mambo yenu ya home humu, kuna vitu vingi muhimu vya kuongea sio haya yenu!
Labda likizo imeongezwa mkuuKwa mujibu wa wizara ya katiba na sheria, mtumishi wa umma aliyeteuliwa, anastahiki kupata likizo ya siku 28 kwa mwaka.
Kwani siku 28 zimeshapita?Labda likizo imeongezwa mkuu
Ova
Ahh hivi bado,ila mimi bado nasikiliza tamko la kiongozi hapo arusha ya kusema Paul yuko likizo!Kwani siku 28 zimeshapita?
Sawa.Ahh hivi bado,ila mimi bado nasikiliza tamko la kiongozi hapo arusha ya kusema Paul yuko likizo!
Ova