Yuko wapi mzee Kinana?

Yuko wapi mzee Kinana?

Wakuu, ni muda sasa sijamsikia mwanasiasa nguli na makamu mwenyekiti wa ccm mzee Kinana; yuko wapi?
Kwa wale mliohudhuria uagwaji wa mwili wa komredi Membe pale Karimjee, mzee Kinana alikuwepo?
Nauliza kwa nia njema ili kujua juu ya mzee wetu.
Nawasilisha
UMK @ Nkotokwiana.
Yupo busy na ile biashara yake ya siku zote, pale Tarangire wale jamaa wamepungua sn
 
Wakuu, ni muda sasa sijamsikia mwanasiasa nguli na makamu mwenyekiti wa ccm mzee Kinana; yuko wapi?
Kwa wale mliohudhuria uagwaji wa mwili wa komredi Membe pale Karimjee, mzee Kinana alikuwepo?
Nauliza kwa nia njema ili kujua juu ya mzee wetu.
Nawasilisha
UMK @ Nkotokwiana.
Tulikuwa naye kwenye party caucus chamwino jumamosi iliyopita
 
Wakuu, ni muda sasa sijamsikia mwanasiasa nguli na makamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinana. Yuko wapi?

Kwa wale mliohudhuria uagwaji wa mwili wa komredi Membe pale Karimjee, mzee Kinana alikuwepo? Nauliza kwa nia njema ili kujua juu ya mzee wetu.

Nawasilisha
UMK @ Nkotokwiana.
Yuko mbugani anafanya sensa ya tembo
 
Back
Top Bottom