Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Yupo busy na ile biashara yake ya siku zote, pale Tarangire wale jamaa wamepungua snWakuu, ni muda sasa sijamsikia mwanasiasa nguli na makamu mwenyekiti wa ccm mzee Kinana; yuko wapi?
Kwa wale mliohudhuria uagwaji wa mwili wa komredi Membe pale Karimjee, mzee Kinana alikuwepo?
Nauliza kwa nia njema ili kujua juu ya mzee wetu.
Nawasilisha
UMK @ Nkotokwiana.