Yuko wapi Rais wa China Xi Jinping?

Yuko wapi Rais wa China Xi Jinping?

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Screenshot_20220924-180829.png

Xi Jinping huenda kaondolewa kwenye wadhifa wa Mwenyekiti wa Tume ya Kijeshi chini ya kivuli cha mapinduzi ya Kijeshi. Inasemekana kuwa Xi kapinduliwa kijeshi.

Vikosi maalum vya PLA vimekusanyika katika uwanja wa ndege wa Jeshi wa Shenyang chini ya amri ya Li Qiaoming. Xi
Hakuwepo katika semina ya Ulinzi wa Kitaifa na Mageuzi ya Kijeshi iliyofanyika Beijing Septemba 21 baada ya kurejea haraka kutoka kwenye mkutano wa SCO.

Kutokuwepo kwake kuna maelezo mawili tu. Ama hali yake ya kiafya ni mbaya sana, au hayuko tena katika nafasi ya uongozi ya amri jesh mkuu na mwenyekiti wa Tume ya Kijeshi ya China.

Li Qiaoming alihudhuria semina hiyo wakati Xi hayupo akiwa ameketi katikati ya kundi la kushoto katika mstari wa kwanza chini ya jukwaa, karibu na Kamanda wa Jeshi la China Liu Zhenli. Waandishi wengi wa mitandao ya kijamii wa China wamesema Xi amewekwa chini ya kifungo cha nyumbani baada ya wazee wa Chama cha Kikomunisti cha China kumuondoa kama mkuu wa Jeshi la Ukombozi la Peoples (PLA).
 
Inasemekana amepinduliwa kutokana na hatua zake laini kuelekea Taiwan.

Jeshi linataka Taiwan ivamiwe haraka iwezokenavyo lakini yeye ana goma kutoa amri ya jeshi kuingia vitani.

Lakini hii inaweza kuwa tetesi za uongo maana hata kipindi cha nyuma nadhani ulikuwa mwaka 2018 kama sikosei kuliibuka tetesi za Putin kuondolewa madarakani baada ya kumaliza karibia miezi miwili bila kuonekana hadharani, lakini badae zilionekana kuwa uzushi mtupu.
Kwa hiyo na hizi inaweza kuwa ni za uongo.
 
PANAPOFUKA MOSHI PANAFICHA MOTO

There is no place for life Presidency in the current world. Leaders have to lead and learn when to come in and when to leave ili heshima ibakie.
History has taught us several times that when you overstay, your exit shall not be a pleasant one. Kiongozi yoyote makini anapokuwa kiongozi tokea siku ya kwanza lazima atambue kwamba baada ya muda atatoka tuu na hivyo ni busara kuanzia siku ya kwanza atayarishe exit plan iliyo thabiti. Aongoze kwa busara na upendo bila kuonea watu. Asipofanya hivyo ajue ipo siku hicho kiti hakitakuwa chake na what goes around comes around.
Kama hadi Xi anachomolewa kinyemela hivyo mchana kweupe, na waangalia jirani zetu kina museveni, na PK wakijiandalia makazi ya milele huko ikulu. They have refused to learn from the history.

That's why Mwl. NYERERE, WILL FOREVER REMAIN THE GREATEST AFRICAN LEADER OF ALL TIME.
 
Akili kubwa hii
 
Mwalimu 1961-1985
 
View attachment 2366778

Xi Jinping huenda kaondolewa kwenye wadhifa wa Mwenyekiti wa Tume ya Kijeshi chini ya kivuli cha mapinduzi ya Kijeshi. Inasemekana kuwa Xi kapinduliwa kijeshi.

Vikosi maalum vya PLA vimekusanyika katika uwanja wa ndege wa Jeshi wa Shenyang chini ya amri ya Li Qiaoming. Xi
Hakuwepo katika semina ya Ulinzi wa Kitaifa na Mageuzi ya Kijeshi iliyofanyika Beijing Septemba 21 baada ya kurejea haraka kutoka kwenye mkutano wa SCO.

Kutokuwepo kwake kuna maelezo mawili tu. Ama hali yake ya kiafya ni mbaya sana, au hayuko tena katika nafasi ya uongozi ya amri jesh mkuu na mwenyekiti wa Tume ya Kijeshi ya China.

Li Qiaoming alihudhuria semina hiyo wakati Xi hayupo akiwa ameketi katikati ya kundi la kushoto katika mstari wa kwanza chini ya jukwaa, karibu na Kamanda wa Jeshi la China Liu Zhenli. Waandishi wengi wa mitandao ya kijamii wa China wamesema Xi amewekwa chini ya kifungo cha nyumbani baada ya wazee wa Chama cha Kikomunisti cha China kumuondoa kama mkuu wa Jeshi la Ukombozi la Peoples (PLA).
Ashang'olewa huyo pimbi bado mwenzake anayekimbia na kijificha kama digidigi huku akirecruit walevi WA gongo wa wanzuki kwenda kupigana vita , anataka kuleta ujinga kwenye maslahi ya watu .
 
Back
Top Bottom