Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Xi Jinping huenda kaondolewa kwenye wadhifa wa Mwenyekiti wa Tume ya Kijeshi chini ya kivuli cha mapinduzi ya Kijeshi. Inasemekana kuwa Xi kapinduliwa kijeshi.
Vikosi maalum vya PLA vimekusanyika katika uwanja wa ndege wa Jeshi wa Shenyang chini ya amri ya Li Qiaoming. Xi
Hakuwepo katika semina ya Ulinzi wa Kitaifa na Mageuzi ya Kijeshi iliyofanyika Beijing Septemba 21 baada ya kurejea haraka kutoka kwenye mkutano wa SCO.
Kutokuwepo kwake kuna maelezo mawili tu. Ama hali yake ya kiafya ni mbaya sana, au hayuko tena katika nafasi ya uongozi ya amri jesh mkuu na mwenyekiti wa Tume ya Kijeshi ya China.
Li Qiaoming alihudhuria semina hiyo wakati Xi hayupo akiwa ameketi katikati ya kundi la kushoto katika mstari wa kwanza chini ya jukwaa, karibu na Kamanda wa Jeshi la China Liu Zhenli. Waandishi wengi wa mitandao ya kijamii wa China wamesema Xi amewekwa chini ya kifungo cha nyumbani baada ya wazee wa Chama cha Kikomunisti cha China kumuondoa kama mkuu wa Jeshi la Ukombozi la Peoples (PLA).