Yuko wapi Rais wa China Xi Jinping?

Yuko wapi Rais wa China Xi Jinping?

Kifupi ni kwamba,hili lilikuwa ni jaribio la 3 na la mwisho la kutaka kumpindua Nyerere.
So what? Does it entail that Nyerere was a bad leader? Aliuliwa Mahatma Gandhi kwa risasi licha ya kuwa yeye ndiye aliyeongoza mapambano ya Uhuru wa India, Pakistan na Bangladesh zikiwa koloni Moja mwaka 1947.

Aliuliwa Thomas Sankara licha ya kuwa kiongozi mzalendo kwa nchi yake. Kupinduliwa, kuuliwa madarakani siyo udhaifu wa uongozi.
 
Huyu Mandela aliyesaidiwa na Nyerere kwenye harakati za Uhuru?. Be serious.

Ukiona mwafrika yoyote hasa mtanzania anamsifia Mandela basi huyo hajui lolote kuhusu historia ya kweli kuhusu shujaa na jasiri aliye shiriki kuwakomboa mataifa mengi ya Kiafrika dhidi ya wakoloni, wanajeshi wa Tanzania wakapigana na kumwaga damu wakati wa harakati za kuwakomboa Waafrika wenzao, Nyerere (RIP) aliwapatia fedha chungu nzima,silaha,mafunzo ya kijeshi wapigania uhuru, kaanzisha vyuo vya kuwafundisha vijana kutoka kwenye mataifa yaliyo kuwa chini ya wakoloni wa magharibi - nani kama Mwalimu Nyerere Duniani kote? hakuna kabisa.

Mandela anakuzwa tu na vyombo ya habari vya magharibi lakini ukweli wa mambo Mandela hawezi kuvaa viatu vya Kambarage hata siku moja ie Mandela hamwingii kwa lolote lile Nyerere zaidi ya kukaa gerezani zaidi ya miaka ishirini - ni hilo tu,personally umuchukulia Mandela kama binadamu aliye waangusha/wasariti Waafrika wenzake Afrika kusini, hakuna kitu chochote cha maana alicho wasaidia Waafrika wenzake Afrika kusini zaidi ya kuendelea kushirikiana/kumbatia makaburu na rangi nyeupe wengine - I am sorry kusema Mandela hakuwa riziki kwa waafrika wa Afrika kusini na Dunia, kusema kweli mkewe Winnie Mandela ndiye alikuwa mwanamke jasiri na mwenye msimamo thabiti - ndio maana alikuwa anagombana na mumewe mara kwa mara kwamba anawa aibisha Waafrika wenzake kwa kushindwa kuwaondoa kwenye lindi la umaskini,bado wanendelea kulala kwenye shanks,hawana maji wala umeme, arable land yote Afrika kusini bado inaendelea kushikiliwa na Makaburu na watu weupe, wafrika wanakuwa mashamba boy tu as if walipata uhuru wa bendera tu!! Halafu watu wanakuja hapa na kusema eti Mandela ni HERO, hii wapi na wapi??
 
HUYU HAPA

China's Xi makes first public appearance in Beijing since trip to Central Asia

BEIJING, Sept 27 (Reuters) - Chinese President Xi Jinping visited an exhibition in Beijing on Tuesday, according to state television, in his first public appearance since returning to China from an official trip to Central Asia in mid-September.

Xi is widely expected to secure a precedent-breaking third term as leader at the Communist Party's once-in-five-years congress next month.

China's Xi makes first public appearance in Beijing since trip to Central Asia
 
Ukiona mwafrika yoyote hasa mtanzania anamsifia Mandela basi huyo hajui lolote kuhusu historia ya kweli kuhusu shujaa na jasiri aliye shiriki kuwakomboa mataifa mengi ya Kiafrika dhidi ya wakoloni, wanajeshi wa Tanzania wakapigana na kumwaga damu wakati wa harakati za kuwakomboa Waafrika wenzao, Nyerere (RIP) aliwapatia fedha chungu nzima,silaha,mafunzo ya kijeshi wapigania uhuru, kaanzisha vyuo vya kuwafundisha vijana kutoka kwenye mataifa yaliyo kuwa chini ya wakoloni wa magharibi - nani kama Mwalimu Nyerere Duniani kote? hakuna kabisa.

Mandela anakuzwa tu na vyombo ya habari vya magharibi lakini ukweli wa mambo Mandela hawezi kuvaa viatu vya Kambarage hata siku moja ie Mandela hamwingii kwa lolote lile Nyerere zaidi ya kukaa gerezani zaidi ya miaka ishirini - ni hilo tu,personally umuchukulia Mandela kama binadamu aliye waangusha/wasariti Waafrika wenzake Afrika kusini, hakuna kitu chochote cha maana alicho wasaidia Waafrika wenzake Afrika kusini zaidi ya kuendelea kushirikiana/kumbatia makaburu na rangi nyeupe wengine - I am sorry kusema Mandela hakuwa riziki kwa waafrika wa Afrika kusini na Dunia, kusema kweli mkewe Winnie Mandela ndiye alikuwa mwanamke jasiri na mwenye msimamo thabiti - ndio maana alikuwa anagombana na mumewe mara kwa mara kwamba anawa aibisha Waafrika wenzake kwa kushindwa kuwaondoa kwenye lindi la umaskini,bado wanendelea kulala kwenye shanks,hawana maji wala umeme, arable land yote Afrika kusini bado inaendelea kushikiliwa na Makaburu na watu weupe, wafrika wanakuwa mashamba boy tu as if walipata uhuru wa bendera tu!! Halafu watu wanakuja hapa na kusema eti Mandela ni HERO, hii wapi na wapi??
Mwalimu alifanya vizuri lakini alisahau Charity begins at home first, hao tuliowasaidia hawana habari na sisi.
 
Umenena kweli. 1993 nilikuwa South Africa wabongo walinyanyasika sana mbele ya wasauthi.

Nilikuwa najiuliza kumbe Nyerere alisaidia watu ovyo sana.

Xenophobic state
 
US propaganda, Kucreate attention kwa dunia, Baada ya Xi kutoonekana hadharani kwa mda sasa na hakuna taarifa yoyote kuwa yuko wapi. Lengo wanataka ajitokeze aseme neno juu ya taiwani. Kumbuka ziara US kule taiwani, China hawakusema lolote.
 
Back
Top Bottom