Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Yupo anafuatilia ziara za makonda mkoa kwa mkoa!Ndugu wana JF popote mlipo neema ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki
Wakuu nauliza Mwana wa Mungu, kaka wa taifa hili, mzalendo asie na mfano Ndugu Lissu, yuko wapi...
Tusemapo "Baba yetu uliye mbinguni jina lako litukuzwe..." jee tunakufuru?Kumwita tundu lisu au mwanadamu yeyote mwana wa Mungu ni kukufuru.
Huyu mkuu hanaga ujinga huo ,Yupo anafuatilia ziara za makonda mkoa kwa mkoa!
PumbvuMwamba yupo anajifua na kuweka nondo zake Sawa ili akianza noma akinukishe kweli kweli
Uchaguzi ujao Mbowe na utapeli wake akae pembeni amuache Kamanda aipatie nchi kinacho staili
Upo na ndoto za mchana?Muitikio mdogo wa maandamano umemkimbiza
Makonda ni nani nchi hiiYupo anafuatilia ziara za makonda mkoa kwa mkoa!
MtekajiMakonda ni nani nchi hii
OkMtekaji
Wambieni tundu lissu achunge mbowe siyo binadamu akumbuke kilicho mpata benNdugu wana JF popote mlipo neema ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki
Wakuu nauliza Mwana wa Mungu, kaka wa taifa hili, mzalendo asie na mfano Ndugu Lissu,...
PumbavuWambieni tundu lissu achunge mbowe siyo binadamu akumbuke kilicho mpata ben
Pole ndugu ,narudia tena ,nyumbu Lema na Mdude ni wasemaji wakubwa wa CDM kuliko Mheshimiwa LissuPumbavu
Chacha Wange Je?Wambieni tundu lissu achunge mbowe siyo binadamu akumbuke kilicho mpata ben
Rostam aziziChacha Wange Je?
Mbowe hawezi kusaliti kiapoMwamba yupo anajifua na kuweka nondo zake Sawa ili akianza noma akinukishe kweli kweli
Uchaguzi ujao Mbowe na utapeli wake akae pembeni amuache Kamanda aipatie nchi kinacho staili
Amehamia CCMNdugu wana JF popote mlipo neema ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki
Wakuu nauliza Mwana wa Mungu, kaka wa taifa hili, mzalendo asie na mfano Ndugu Lissu, yuko wapi...
Wasingeiba kura hata za udiwani hebu shirikisha akili basi hata kidogo!!!Ukisikia kuwa Samia ni mwanasiasa aliyewiva basi indicators zake ni kama hizi. Leo Lissu anatafutwa kwa vile hasikiki...