Yuko wapi Tundu Lissu?

Yuko wapi Tundu Lissu?

Ndugu wana JF popote mlipo neema ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki

Wakuu nauliza Mwana wa Mungu, kaka wa taifa hili, mzalendo asie na mfano Ndugu Lissu, yuko wapi...
Yupo anafuatilia ziara za makonda mkoa kwa mkoa!
 
Kumwita tundu lisu au mwanadamu yeyote mwana wa Mungu ni kukufuru.
Tusemapo "Baba yetu uliye mbinguni jina lako litukuzwe..." jee tunakufuru?

Maana kumwita hivyo tayari tumemaanisha sisi ni wana wa Mungu tayari!

Wakati mwingine punguzeni chuki zenu kwa Lissu.

Lissu ni mwana wa Mungu kama mimi na wengine tunaomwabudu Mungu, wewe kama sio basi ni wewe!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Lissu anajiandaa kujiunga na wapiganaji wa kweli akina Ismail Jussa huko ACT hivyo mipango inaendelea,stay tune...
 
Ndugu wana JF popote mlipo neema ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki

Wakuu nauliza Mwana wa Mungu, kaka wa taifa hili, mzalendo asie na mfano Ndugu Lissu,...
Wambieni tundu lissu achunge mbowe siyo binadamu akumbuke kilicho mpata ben
 
Ukisikia kuwa Samia ni mwanasiasa aliyewiva basi indicators zake ni kama hizi. Leo Lissu anatafutwa kwa vile hasikiki...
Wasingeiba kura hata za udiwani hebu shirikisha akili basi hata kidogo!!!
 
Back
Top Bottom