Yuko wapi Tundu Lissu?

Yuko wapi Tundu Lissu?

TheMaster

Member
Joined
Aug 10, 2023
Posts
36
Reaction score
68
Nauliza kutaka kufahamu yupo wapi Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Ndg Tundu Antipasi Lissu,

Zimepita takribani siku 15 tangu aonekane mara ya mwisho Twitter akihoji juu ya alipo kafa wa CHADEMA bwana DEUS SOKA. Baada ya hapo Tundu lisu hajaonekana wala kusikika sehemu yeyote hadi leo.

Hata kunako tukio la msiba wa Mzee Ally Mohamed Kibao, Tundu Lissu hajasikika akisema chochote wala kutuma chochote kwenye mtandao wa kijamii tuliko mzoea.

Hii inaashiria nini??
 
Yawezekana ametekwa na vijana wauaji kutoka CCM. Tuwe waangalifu sana na CCM.
 
Hii ni picha mpya. Ya leo. Tokea tukio baya kabisa liloloza watu wengi ni tukio la kutukwa kwa kiongozi wa CHADEMA. Lkn ktk matukio yote Mh. Lissu hajaonekana.

Lissu ni muadilifu sana. Kanyooka.

Kuna nini nyuma ya tukio hili la mauwaji.

Kajitenga au katengwa?

Kwanini kitu chake kinakaimiwa?
 
Attachments

  • IMG_20240910_165459.jpg
    IMG_20240910_165459.jpg
    197.2 KB · Views: 5
Hii ni picha mpya. Ya leo. Tokea tukio baya kabisa liloloza watu wengi ni tukio la kutukwa kwa kiongozi wa CHADEMA. Lkn ktk matukio yote Mh. Lissu hajaonekana.

Lissu ni muadilifu sana. Kanyooka.

Kuna nini nyuma ya tukio hili la mauwaji.

Kajitenga au katengwa?

Kwanini kitu chake kinakaimiwa?
Lissu ni msomi ambae anakaribia kujitambua kuwa anaendeshwa na wasiokuwa na kisoma chochote
 
Back
Top Bottom