TheMaster
Member
- Aug 10, 2023
- 36
- 68
Nauliza kutaka kufahamu yupo wapi Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Ndg Tundu Antipasi Lissu,
Zimepita takribani siku 15 tangu aonekane mara ya mwisho Twitter akihoji juu ya alipo kafa wa CHADEMA bwana DEUS SOKA. Baada ya hapo Tundu lisu hajaonekana wala kusikika sehemu yeyote hadi leo.
Hata kunako tukio la msiba wa Mzee Ally Mohamed Kibao, Tundu Lissu hajasikika akisema chochote wala kutuma chochote kwenye mtandao wa kijamii tuliko mzoea.
Hii inaashiria nini??