Yuko wapi Vengu-mchekeshaji wa comedy

kwenye tve walisema amefariki?!!...kama ni hvo utata upo wp
 
Kufupisha stori huyu jamaa yupo wapi na anafanya nini?
Nmegundua sio wote kweli tunaweza kuandika kitu kikaeleweka na hapo nmetumia muda mwingi sana kutype nmezoea kuandika kwa ufupi na kueleweka mniwie radhi
 
Ubongo wako mdogo kuweza kudadavua mambo
 
Dah,kweli huyu jamaa hasikiki kabisa sasa hivi...
 
spidernyoka soma hii article ya nyuma itakupa mwanga kumhusu Vengu.

 
Hiyo taarifa inasemaje sasa
 
Ungeweka hayo mahojiano ya Mpoki hapa
Ulichoandika hakieleweki
 
Mwaka 2013 nilikuwa taasisi fulani ya utafiti na tulikuwa na kaka yake ambaye alikuwa dereva wetu pale, ndiye aliyekuwa akiishi na Joseph Kigamboni na ndiye alikuwa akipambana na matibabu yake........kwa maelezo yake kwenye kundi lao la ze comedy ni Joti na Masanja pekee ndiyo waliokuwa wakienda kumuona.......na kipindi kile Mizengo Pinda ndiye alikuwa msaada mkubwa sana wakati ni PM,maana chakula alichokuwa anakula kwa siku ilikuwa kama elf 30 (special meal).

Ila jambo kubwa lililokuwa linaelezwa nikwamba ni issue ya ushirikina ndani ya kundi lao.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…