Yuko wapi Vengu-mchekeshaji wa comedy

Yuko wapi Vengu-mchekeshaji wa comedy

Dah kama bado anaumwa Mungu amponye aisee, ameteseka sana sana
 
Kama bado atakua anaumwa kama taarifa za awali zilivyosema (ingawa hazikufafanua), Basi huyu ndio atakua mtanzania aliyeumwa/aliyeugua kwa muda mrefu zaidi.

Cha kushangaza zaidi kuhusiana na huyu jama hakunaga hata rumous mtaani ya kinachoendelea zaidi ya majibu ya mkato kuwa ni MgOnJwA
Wimbo wa OSS Marashi ya Pemba nasikia ndio kimemponza mchuchu wa Mpemba

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom