Alikosea sana kuigiza hali ya kiafya ya mzee Mrema. Ugonjwa wa mtu siyo wa kufurahia na kuugiza. Maigizo yale yalikuwa yanamdhalilisha na kuumiza nafsi ya Mrema, naamini hivyo.
Katika maisha tunapokuwa wazima, kuna mambo makuu matatu ambayo hutakiwi kumcheka binadamu mwenzako:
- Maradhi;
- Umasikini;
- Ugumba/Utasa/kukosa watoto.
Mambo hayo yaweza mkumba yeyote wakati wowote wa maisha, regardless of your status at the time being.
Pole sana Vengu. I do believe bado upo hai. Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika maradhi yako insha'Allah.
Zetu dua.
-Kaveli-