Yuko wapi Vengu-mchekeshaji wa comedy

Yuko wapi Vengu-mchekeshaji wa comedy

Duh kweli asee, kaumwa kitaaambo[emoji849][emoji848]

My love witnes, sanahani kwa usumbufu naomba uje PM mara moja nina jambo nawewe mpenzi.! Tafadhari naomba uje tuzungumze [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
 
Inasikitisha sana, zamani sana jamaa alikuwa pia ana shida ya kuzima akiwa kwenye gari.
Kuna kipindi nilimwona mataa ya bamaga kasababisha foleni hadi wenzake akina joti na seki kuja kuvunja dirisha na kuingia ndani kuondoa gari.
Hapo nikafahamu Vengu ana shida ya kiafya
 
inasababishwa na nini?
Haijulikani,japo uvimbe waweza kuwa cancer ama ukawa uvimbe tu,,ingekuwa ni cancer hangeishi mda mrefu hivyo,,
Nimesema brain tumor maana yake wenye tatizo hilo wana tabia ya kuzima kama alivyokua anazima vengu popote pale,then kadri siku zinavyoenda hali huzidi kudeterioret,
Operation ubongo inahitajika hapo.
 
Alikosea sana kuigiza hali ya kiafya ya mzee Mrema. Ugonjwa wa mtu siyo wa kufurahia na kuugiza. Maigizo yale yalikuwa yanamdhalilisha na kuumiza nafsi ya Mrema, naamini hivyo.

Katika maisha tunapokuwa wazima, kuna mambo makuu matatu ambayo hutakiwi kumcheka binadamu mwenzako:

  • Maradhi;
  • Umasikini;
  • Ugumba/Utasa/kukosa watoto.

Mambo hayo yaweza mkumba yeyote wakati wowote wa maisha, regardless of your status at the time being.

Pole sana Vengu. I do believe bado upo hai. Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika maradhi yako insha'Allah.

Zetu dua.

-Kaveli-
 
The last emperor
 
hii kitu ni kweli kabisa,mkuu
 
Comment no 111 lkn bado sijajua kipi ni kipi. Upi ukweli upi uongo.

Jf inaendelea kupoteza ubora siku hadi siku
Joti kahojiwa na salama jabir kwenye yahstone town kasema, jamaa alianguka akapata hitilaf kichwani alienda operation india kipindi flani. Anyways kwa sasa yuko home.
 
Salaam sana wanajamvi,

Nimeona taarifa kupitia TvE Tanzania leo asubui alikua anahojiwa mshiriki mwenza katika kipindi cha ucheshi kilichobamba kitambo kidogo ze comedy mpaka orijino komedi Mpoki akisema kwamba Bw. Joseph shamba maarufu kama Vengu ambaye tuliaminishwa amepoteza maisha kwa maradhi yalokua yakimsumbua

Je, Vengu anaishi kweli na kipi kinasababisha aishi maisha ya kivuli au kuna nafasi nyeti anaitumikia kwa sasa?

Karibuni wenye taarifa zaidi

1622120272610.png
 
Back
Top Bottom