Yuko wapi Vengu-mchekeshaji wa comedy

Ubongo wa mshikaji ndiyo basi tena. Kifupi jamaa anasubiria tu siku ifike ila no hope at all at all!
 
Huo ugonjwa ukoje .... Anakuaje!??
 
Hivi kundi lao bado lipo hai? Mastaa wawili wapo kwenye matangazo ya biashara za makampuni, mwingine anajishughulisha na mambo ya injili, mc Regan na wakuvwanga hawajulikani wanafanya shuguli gani. Ki ukweli hili kundi lilijipatia umaarufu mkubwa sana
 
Huyu si ndio yule alikuwa anadhihaki watu wagonjwa kama mh Mrema. alisahau kuwa "haujafa haujaumbika" Mungu atende miujiza aponye ili aweze kujutia aliyokuwa akiyafanya



hadi kibaraghasia chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…