Yuko wapi Vengu-mchekeshaji wa comedy

Yuko wapi Vengu-mchekeshaji wa comedy

usitetee ujinga, walikuwa wanadhihaki watu wengi tu ambao walionekana kuwa tofauti yao kibiashara au kisiasa
Mkuu ilikuwa maigizo tu mkuu........na of course alikuwa anawakilisha kile alichokuwa nacho Mrema na wala sio kudhihaki
 
usitetee ujinga, walikuwa wanadhihaki watu wengi tu ambao walionekana kuwa tofauti yao kibiashara au kisiasa
Lete ushahidi au kama kuna mtu alifungua kesi kutokana na kile walichofanya na akashinda au TCRA walifungia kipindi kutokana na show yao
 
usitetee ujinga, walikuwa wanadhihaki watu wengi tu ambao walionekana kuwa tofauti yao kibiashara au kisiasa
Hiyo ni negative perseption vile waligiza ikatokea hivyo. Mbona wakigiza nimatajiri haiwi. Wabongo bhana ukisema "ntajiua watasema maneno yanaumba ila ukisema ntajenga ghorofa utasikia aah wapi kwa usawa huu" kwanini yaumbe negatively na sio positively.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna habari kwamba alikuwa anaumwa. Ni muda mrefu sana, mwenye taarifa zake tafadhali

tapatalk_1605812091232.jpeg
 
kuna habari kwamba alikuwa anaumwa.ni muda mrefu sana.Mwenye taarifa zake tafadhaliView attachment 1630254
Kama bado atakua anaumwa kama taarifa za awali zilivyosema (ingawa hazikufafanua), Basi huyu ndio atakua mtanzania aliyeumwa/aliyeugua kwa muda mrefu zaidi.

Cha kushangaza zaidi kuhusiana na huyu jama hakunaga hata rumous mtaani ya kinachoendelea zaidi ya majibu ya mkato kuwa ni Mgonjwa
 
Back
Top Bottom