Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Nasikia mzee wa kiraracha hakupenda jinsi Vengu alivyokuwa anamuigiza yeye mgonjwa!
Miezi michache baadae Vengu akaanza kuumwa ndio mpaka leo, ukiulizia tu, unaambiwa jamaa bado anaumwa
MimviNdo nani mzee wa Kiraracha???
Ndo nani mzee wa Kiraracha???
Anafanana na Lijua Likali.kuna habari kwamba alikuwa anaumwa.ni muda mrefu sana.Mwenye taarifa zake tafadhaliView attachment 1630254
Duh!alifariki jamaa ikafanywa siri
Ndiyo mzee nani uyo?Nasikia mzee wa kiraracha hakupenda jinsi Vengu alivyokuwa anamuigiza yeye mgonjwa!
Miezi michache baadae Vengu akaanza kuumwa ndio mpaka leo, ukiulizia tu, unaambiwa jamaa bado anaumwa
Hajafariki yuko hai ila ndio hivyo mgonjwaWengine wanasema kashafariki wengine wanasema bado yu hai ila ni mgonjwa....sijui tushike lipi sasa.