chama mpangala
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 549
- 841
Kuna mambo nashindwa kuelewa Joti, Masanja mkandamizaji na Mpoki hivi kweli wameshindwa kabisaa kumsaidia mwenzao au wamemtoa kafaraa!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale majamaa wana roho ngumu sanaKuna mambo nashindwa kuelewa Joti,Masanja mkandamizaji na Mpoki hivi kweli wameshindwa kabisaa kumsaidia mwenzao au wamemtoa kafalaa!!??
Wenzie wote walishaoa ila yeye hadi sasa bado hajaoa sio? 🤔Hajafariki yuko hai ila ndio hivyo mgonjwa
Wenzie wote walishaoa ila yeye hadi sasa bado hajaoa sio? [emoji848]
Wahi Ukakamatie Fursa Mkuu😜Wenzie wote walishaoa ila yeye hadi sasa bado hajaoa sio? 🤔
Mimi sahivi ni Mbibi sifai kitu 👵, I missed those daysWahi Ukakamatie Fursa Mkuu😜
Ashafariki siku nyingi figo pia zilifeli
Last time nipo Ifakara ndiyo kwao nilisikia yupo ndani tu anaumwa
Ukweli ni upi hapa?Hajafariki yuko hai ila ndio hivyo mgonjwa
Sio masihara, anavowaona wenzie maisha yanaendelea na yeye angetamani awe hivo lakini kama sio mgonjwa sana anawwzakuwa ameshaoaAcha masihara...
Wabibi Huwa Hawajisemi Mkuu; please wahi hiyo nafasi....Mimi sahivi ni Mbibi sifai kitu 👵, I missed those days
MremaNdiyo mzee nani uyo?
Masanja alimtoa kafaraKuna mambo nashindwa kuelewa Joti,Masanja mkandamizaji na Mpoki hivi kweli wameshindwa kabisaa kumsaidia mwenzao au wamemtoa kafalaa!!??
Huyo alitibiwa hadi na serikali ya mkwereTumuambie diamond amtibie.
Vengu kwao Ifakara? Sio mfipa yule? Joti ndio Ifakara na Mpoki kwa upande wa mama ni IfakaraLast time nipo Ifakara ndiyo kwao nilisikia yupo ndani tu anaumwa
Ha ha ha[emoji23][emoji23][emoji23]Masanja alimtoa kafara
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] duuu!!!Mimi sahivi ni Mbibi sifai kitu [emoji70], I missed those days
Mzee wa Kiraracha ni Agustino Lyatonga Mrema.Ndo nani mzee wa Kiraracha???