Yuko wapi Vengu-mchekeshaji wa comedy

Yuko wapi Vengu-mchekeshaji wa comedy

Kati yako na yule wa twitter nani kamuibia mwenzake story?

Ni vyema ukiiba ama kunakili hadithi utambue mwenye nayo.
 
Ana tatizo la kwenye ubongo ambalo hawezi kurudi Katika hali ya kawaida tena Katika maisha yake. Ila ni mambo ya kifamilia hayo.Hata Muhimbili waliligundua hilo na hata kwenda India ilikuwa haina maana kwasababu ni tatizo ambalo ukipata halina tiba zaidi ya palliative care tu.

Alipelekwa tu India na Serikali kwasababu wakati ule kundi lilikuwa maarufu na ilionekana kama viongozi wanapelekwa India why not Wasanii lakini kitaalam walikuwa wanaojua nothing new will be detected or diagnosed.

Yuko Kigamboni kwa Babu na baadhi ya ndugu zake wakimpa msaada pamoja kundi lao la OK likiongozwa na Masanja Mkandamizaji.

Ila inasikitisha sana.
Daaaaah inasikitisha sana

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom