The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Kati yako na yule wa twitter nani kamuibia mwenzake story?
Ni vyema ukiiba ama kunakili hadithi utambue mwenye nayo.
Ni vyema ukiiba ama kunakili hadithi utambue mwenye nayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrema alimpiga kipapaiKwa wasio mjua au wanaochanganya sura.
View attachment 1903539
Huyo hapo. Alikua anapenda sana kumuigiza Mrema, watu wengine walikua hawapendi kinoma.
View attachment 1903541
Hapo ndio alipotembelewa na Rais Mstaafu, JK.
Kuna huu uzi ulisema Amefariki India ila ukakanusha baadae.
Vengu wa Original Komedi amefariki dunia nchini India (Si habari ya Kweli)
Huyu alikufa Toka enzi za JK familia ikafichaClassmate wangu huyu Mbozi mission, Mungu ampe afya njema.
Sema Mungu!!Huyu alikufa Toka enzi za JK familia ikaficha
Wewe ulipata wapi hizi taarifa?Huyu alikufa Toka enzi za JK familia ikaficha
Ni mpangwa wa ludewaMasanja ni Mgaya wa Mbarali ndani ndani huko!
Aseeh watu mna makubwa Sana.Huyu alikufa Toka enzi za JK familia ikaficha
Unawezaje kuficha kifo?....na kwanini wafiche?..Huyu alikufa Toka enzi za JK familia ikaficha
Heeeee, we jamaa tuache basi dah 😃Huyu alikufa Toka enzi za JK familia ikaficha
Uongoooo mkubwaHuyu alikufa Toka enzi za JK familia ikaficha
Kiaje?Wale majamaa wana roho ngumu sana
Amezikiwa wapi mkuu!?Huyu alikufa Toka enzi za JK familia ikaficha
Daaaaah inasikitisha sanaAna tatizo la kwenye ubongo ambalo hawezi kurudi Katika hali ya kawaida tena Katika maisha yake. Ila ni mambo ya kifamilia hayo.Hata Muhimbili waliligundua hilo na hata kwenda India ilikuwa haina maana kwasababu ni tatizo ambalo ukipata halina tiba zaidi ya palliative care tu.
Alipelekwa tu India na Serikali kwasababu wakati ule kundi lilikuwa maarufu na ilionekana kama viongozi wanapelekwa India why not Wasanii lakini kitaalam walikuwa wanaojua nothing new will be detected or diagnosed.
Yuko Kigamboni kwa Babu na baadhi ya ndugu zake wakimpa msaada pamoja kundi lao la OK likiongozwa na Masanja Mkandamizaji.
Ila inasikitisha sana.
Kesi tena mwanangu, wakati Mungu keshafanyaLete ushahidi au kama kuna mtu alifungua kesi kutokana na kile walichofanya na akashinda au TCRA walifungia kipindi kutokana na show yao
Mpaka leo hajapona?Uongoooo mkubwa
Acha kuuwa wenzio wakati wapo hai
Mimi namfahamu ndugu yake kbs,yupo hai japo mgonjwa