Yuko wapi Waziri wa Fedha, Dkt. Mpango?

Status
Not open for further replies.

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nauliza tu maana mara ya mwisho nilimuona luningani akiwasimamisha kazi baadhi ya watoza ushuru wa TRA.

Jana nimemuona Mwigulu Nchemba akitumikia majukumu ya Waziri wa Fedha pale bungeni ndio nikajiuliza huyu Waziri nyeti kabisa yu wapi hadi Dkt. Mwigulu anatamalaki bungeni kwa niaba yake?

Maendeleo hayana vyama!
 
Mimi sijamuona Mama Samia Suluhu, yuko wapi?.
Maana mkutano mmoja alioshiriki huko Dodoma wa wadau wa lugha ya Taifa mwezi uliopita kuna watu kadhaa wameshaondoka kwa "Nyumonia"
Mama Samia tulikuwa naye juzi kwenye sherehe za miaka 44 ya CCM pale Mabwepande jimboni kwake askofu Gwajima!
 
Hatari sana mkuu....Mambo ni mengi na muda mchache sana.
 
Corona haina mwenyewe CCM kama kenge tu hauamini hadi damu ziwatoke
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…