Yuko wapi Waziri wa Fedha, Dkt. Mpango?

Yuko wapi Waziri wa Fedha, Dkt. Mpango?

Status
Not open for further replies.
Tusiwe wajinga,Corona inauwa.Tuchukuwe tahadhari.Tuwasikilize na kushirikiana na wataalamu wa afya.Iga mfano wa Raisi Biden.
 
Atakuwa yupo yupo tu! Hata Lukuvi walivumisha kwamba amebanwa pumzi lakini juzi kati ameonekana hadharani akisimamisha ujenzi kule Coco Beach! Kigogo mara nyingi huwa manafiki sana!
Corona huwa na tabia ya kubana na kuachia
 
Bila shaka ilishafahamika alipo, tuchukue tahadhali ndugu zangu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom