Yuko wapi Waziri wa Fedha, Dkt. Mpango?

Yuko wapi Waziri wa Fedha, Dkt. Mpango?

Status
Not open for further replies.
Kuna mawaziri kama wanne ni wagonjwa sana...
JESHI tayari limetoa tahadhari juu ya hatari iliyo mbele ya taifa kwa AmiriJeshi , na imempa mapendekezo kadhaa hasa baada ya hali kuendelea kuwa mbaya , tayari kuna mabrigedia jennerali kama sita wali active na wastaafu wamefariki ndani ya hizi wiki mbili za second wave ....na kuna maafisa wa juu na maafisa wengi tu wako hoi , wakiwamo pia maafisa wa hadhi hiyo wa TIS

ANATAKIWA KUCHUKUA HATUA BEFORE IT IS TOO LATE ASIJIFICHE KUNYE KUKANA TATIZO
 
Mkuu wanaonekana ndio maana hawajauliziwa ,si umeona hadi na nyie Lumumba hamjauliza Mbowe na Mnyika? Alafu Kile Kindoo cheupe pale Lumumba cha lita 20 mbona kidogo sana kutosha kunawa mikono wana Lumumba wote? Badilisheni wekeni TANK Kubwa au Pipa.
Uzuri wenyewe hawaamini katika hilo,hivyo hawana haja ya kujisumbua.
 
Nauliza tu maana mara ya mwisho nilimuona luningani akiwasimamisha kazi baadhi ya watoza ushuru wa TRA.

Jana nimemuona Mwigulu Nchemba akitumikia majukumu ya Waziri wa Fedha pale bungeni ndio nikajiuliza huyu Waziri nyeti kabisa yu wapi hadi Dkt. Mwigulu anatamalaki bungeni kwa niaba yake?

Maendeleo hayana vyama!
Serikali pana kama simba.Huyu akiwa na udhuru mwingine anashika. Boko out kagere in. Mpango kazi nyingine muhimu
 
Nauliza tu maana mara ya mwisho nilimuona luningani akiwasimamisha kazi baadhi ya watoza ushuru wa TRA.

Jana nimemuona Mwigulu Nchemba akitumikia majukumu ya Waziri wa Fedha pale bungeni ndio nikajiuliza huyu Waziri nyeti kabisa yu wapi hadi Dkt. Mwigulu anatamalaki bungeni kwa niaba yake?

Maendeleo hayana vyama!
Umbea tu unakusumbua
 
Yupo kwenye majukumu makubwa ya kitaifa na kimataifa.
 
Picha yake hamna. Uzi bila picha ni hatari kwa JF
 
Mama Samia tulikuwa naye juzi kwenye sherehe za miaka 44 ya CCM pale Mabwepande jimboni kwake askofu Gwajima!
Ok sawa.... Nileteeni gwajimaaaaaaaa
Nileteeni gwajimaaaa.........
Nileteeni gwajimaaaa..........
Nileteeni gwajimaaaa......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom