Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

Tatizo watoto wa sahvi hawataki kujaribu kutoka,kipindi cha nyuma madogo walikuwa majasiri sana

Ova
 
Tatizo watoto wa sahvi hawataki kujaribu kutoka,kipindi cha nyuma madogo walikuwa majasiri sana

Ova
Madogo wa sasa wanaamini " kutoka" kupitia sanaa na siasa ndio maana wanafeli!

Zamani sanaa na michezi ilikuwa ni kwa burudani tu lakini mishe nyingine zinaendelea kama kawa.

Fikiria mtu kama Rip Macheni alianzia ukonda kwenye mabasu baadae akachukua meli ndio akafaulu.
 
Unajua wazee wetu zaman walikuwa na uthubutu mambo ya usela waliweka pemben japo wachache waliozamia melin walituangusha kina mzee mmoja sijui baba yake dully Sykes nadhan huyo alizinguatulikuwa naye pale magomen

Mrangi tupe ufafanuz juu ya huyu mzee mm nimemkuta na michen tu lakn maendeleo hakuna tofaut na kina mcheni
 
 
Jamaa anaonekana ni wa jamii za Greece kabisa nilizani ni jina tu. ila hawa madereva wa miaka hiyo wengi sana walisha-RIP. mungu ampe maisha huyu jamaa
Wengi ukimwi umewaondoa.....
 
Uthubutu wa vijana wa siku hizi ni kutongoza ma sugarmammy ( wazee kuliko umri wa wazazi wao) ili wawalee! Pathetic!
 
Hahaha kiukweli yule mzee alidesa mwenyewe tu
Ila mimi binafsi utotoni wakubwa zangu wengi wlikuwa mabaharia wa meli...na ujanja mwingi nliupata na kujifunza kwao
Maana wao wanazunguka ma Asia maulaya huko wanalipwa $$$ wakirudi wazungu wao
Miaka ya nyuma mjanja anayeheshimika baharia,maana vitu vizuri vikali vyote wa kwanza kupata ni yeye!
Yaani exposure walikuwa nayo
Kwenye uwekezaji pia nyumbani walijua

Ova
 
Hahah kumbe kazi ya ukonda wengi tumepitia....
Yah macheni mzee wa network sema alimpora mwanangu dem wake jamaa mpaka netwrk za juu zilikata,ashura Hahaha

Ova
 
Hahahaaaa...... Babake Dully ni kama babake Kigwangalla meli hazikuwasaidia kuwatoa kimaisha!
 

Siku nenda songea kupitia njia ya njombe halafu omba uoneshwe kona ya shabiby,ndo utajua kuwa hujui.ile ajali ilikuwa fatal,kuna makaburi ya pamoja pale pale,sikumbuki ni mwaka gani ilitokea ila imeacha alama ya kudumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…